Bowie
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 4,372
- 6,078
Itabidii Tanzania ielezee dunia athari ya mikataba mibovu inavyonyoya nchi za kiafrika madini Yao.
Ili kuingia tanzania watapitia malawi.wanapanga mipango mingine yakutupiga hawa jamaa sio kabisa. msimu huu wamelamba dume
Ni kweli mkuu...madini yanachimbwa Africa kwa wingi mkutano ujerumani...hivi Ujerumani huwa inazalisha madini gani? Kma wana madini poa, hakuna pingamiziujinga. MADINI YETU TUKAFANYIE MKUTANO KWAO
au siku hizi kuna Frankfurt ya Africa?
Unakumbuka mkutano aliitishaga mtu mwenye jina la Otto Von Bismarck huko Berlin 1884-1885 nahisi watakuwa wanaenda kuvunja makubaliano na wazungu kule yalipoanzia.Ni kweli mkuu...madini yanachimbwa Africa kwa wingi mkutano ujerumani...hivi Ujerumani huwa inazalisha madini gani? Kma wana madini poa, hakuna pingamizi
ujinga. MADINI YETU TUKAFANYIE MKUTANO KWAO
au siku hizi kuna Frankfurt ya Africa?
Hii mikataba mibovu amesaini nani? Na baada ya kubaini ni mibovu walosaini wamefanywa nn?View attachment 528092 Mkutano wa mataifa za kiafrika utafanyika huko Ujerumani mwezi ujao ni wakati muhimu kwa Tanzania kuwa miongoni nchi zitakazo nufaika na kongamano kwani ajenda muhimu itakuwa masuala ya madini barani Afrika.
Itabidii Tanzania ielezee dunia athari ya mikataba mibovu inavyonyoya nchi za kiafrika madini Yao.
Thubutu yake? Jeshi lipo imara mnoIli kuingia tanzania watapitia malawi.
Wajuzi wamenielewa.
Wakati wanaingia mikataba mibovu walikuwa wameshikiwa kisu mpaka waende kulialia kwa wazungu wakati waliingia kwa hiari yao wenyewe.Itabidii Tanzania ielezee dunia athari ya mikataba mibovu inavyonyoya nchi za kiafrika madini Yao.
Inashangaza sanaMkutano wa Afrika unafanyika ulaya
Huku kwa wanaume wanapaogopaKwa nini mkutano usingefanyikia nyamongo tarime ukumbi wa halmashauri pale?