Bobwe2
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 2,708
- 2,885
Wewe kilaza lowasa ni chaguo la watanzania na ccm haitakiwi Tanzania mzima
Tokea mwaka 1995 huku pemba ccm haina hata jimbo moja,bado hamjachelewa kuikataa ccm muda wa mabadiliko ni sasa.

Hatujapagawa nyie arusha ukabila tu mtampigia huyo ndugu yenu lowasa kumbukeni tanzania ina mikoa 27 kwani hatulitambui hilo mtajibeba hatuna shida na arusha yenu