Mkutano wa mgombea mwenza wa CCM Arusha

Mkutano wa mgombea mwenza wa CCM Arusha

Mianamke ..? Hivi ww ulizaliwa au, na km ulizaliwa ulipitia tigo pesa ??

Eti mijizi, km alikuwa jizi alikuwa sirikali gani, na huyo aliyemshika mkono na kumpigia kampeni kuwa huyu ni jemadari nae ni jizi au ???

iio
Acheni umbea kama mianamke, kura hazipatikani kwa kudanganyana kwenye mitandao, yule mama kwa watu aliopata tena kwenye ngome inayoitwa ya ukawia huwezi dharau hata hilo Duni likienda mikoani lenyewe halipati hata robo ya watu aliopata yule mama pale usa, ombeni clips siyo mnadanganyana tu. Sijategemea vijana ambao wanaonekana kupata elimu lakini wanadanganyika kwa vitu vidogo, mijizi leo inasifiwa kwa kisingizio eti mfumo na kila jitu linaitikia kwa kushangilia kabisa kama mizuzu mfumo mfumo...duu nchi kama imelaaniwa!
 
Acha kuchanganyikiwa wewe, usiwe na akili kipisi mkuu,kwa kuwa wote tunataka inchi isonge mbele ila kwa kupitia chama kipi hilo ndo tatizo,njia ni moja tu, yeyote akipita ni sawa,inatakiwa tuorodheshe mafisadi wote walioitafuna inchi na wanaoendelea kutafuna licha ya kelele zetu kutoka chama chochote na tutoe contract kwa boko haramu au alshababu wawadondoshe mmoja baada ya mwingine hapo maendeleo yatapatikana
 
wakuu pitieni kwenye link hii nimeikuta kule upande mwengine:
MICHUZI BLOG: MGOMBEA URAIS MWENZA WA CCM BI. SAMIA SULUHU HASSAN ALITIKISA JIJI LA ARUSHA

mkuu sina picha ila nilipita pale kilombero hali ilikuwa inaskitisha sana,yani nilimuhurumia sana yule mama

cjabahatika kupata picha ila Samia leo alikuwa kwnye viwanja vya ngarasero Usa River akinadi sera zake,hakukuwa na watu kwakwel zaid waliokuwepo walikuja na magari cjui walitoka wapi ndo hayo tu mkuu

Haha pale USA-RIVER aliahirisha mkutano haukua na watu kabisa halafu CCM wLikua wakitangaza watu waende ati watapewa bodaboda!!!

mambo magumu kwelikweli

Ccm mwaka wamelamba galasa

Mafuriko ngarasero

ccm kwisha Arusha magari yalikuwa mengi kuliko watu

Kule kwetu kuna masemo: KASEGASEGA NA KALILALILA, yaani he who laughs best lT 2who laughs last. Sisi kule kwetu huwa tunaheshimu wanawake. Hizi khejeli zitajawatokea puani watch this space. WM

watuwalioletwa na coster usa river walitoka elerai na maeneomengine bada ya mgombea kupanda jukwaani watu wa coster waliondoka kwani walikuja kujaza uwanja hatarobo hajafika baada ya mgombea kupanda jukwaani coster ziliondoka

Toa upuuzi wako hapa,suala sio mwanamke bali CCM na mkutano wao wa kampeni."shule mlienda kusomea ujing"=faiza foxy

Hivi sheria inasemaje kama kwa wakati huu mgombea akiona upepo sio kabisa na kuliko kupoteza muda na nguvu zake anajitoa?

Nilikuwepo kwenye mkutano usa river kwa kweli hali iliyokuwepo hadi inatia huruma kwa chama tawala

Ndio maana mzee aliwaita w.......u! Kama huna point kaa kimya siyo kutoa kinyesi kupitia mdomoni

Huu mgao arusha unaisha lini mbona unatoka mapovu kwa vitu ambavyo havina msingi.

iio
Acheni umbea kama mianamke, kura hazipatikani kwa kudanganyana kwenye mitandao, yule mama kwa watu aliopata tena kwenye ngome inayoitwa ya ukawia huwezi dharau hata hilo Duni likienda mikoani lenyewe halipati hata robo ya watu aliopata yule mama pale usa, ombeni clips siyo mnadanganyana tu. Sijategemea vijana ambao wanaonekana kupata elimu lakini wanadanganyika kwa vitu vidogo, mijizi leo inasifiwa kwa kisingizio eti mfumo na kila jitu linaitikia kwa kushangilia kabisa kama mizuzu mfumo mfumo...duu nchi kama imelaaniwa!
 
iio
Acheni umbea kama mianamke, kura hazipatikani kwa kudanganyana kwenye mitandao, yule mama kwa watu aliopata tena kwenye ngome inayoitwa ya ukawia huwezi dharau hata hilo Duni likienda mikoani lenyewe halipati hata robo ya watu aliopata yule mama pale usa, ombeni clips siyo mnadanganyana tu. Sijategemea vijana ambao wanaonekana kupata elimu lakini wanadanganyika kwa vitu vidogo, mijizi leo inasifiwa kwa kisingizio eti mfumo na kila jitu linaitikia kwa kushangilia kabisa kama mizuzu mfumo mfumo...duu nchi kama imelaaniwa!
Mapovu yamekujaa hata kufikiri unashindwa! unaposema wanawake wambea halafu mgombea mwenza ni mwanamke, mama yako mzazi ni mwanamke...kwa hiyo hao nao ni wambea au?
 
Nilisikia tetesi kwamba,mgombea mwenza wa ccm atakuwa na mkutano wa kampeni leo Arusha mwenye habari na picha atutupie

Kuna picha moja alikua akihutubia Viti sema ndo nimeshindwa ku-attach.
 
Hatujapagawa nyie arusha ukabila tu mtampigia huyo ndugu yenu lowasa kumbukeni tanzania ina mikoa 27 kwani hatulitambui hilo mtajibeba hatuna shida na arusha yenu
 
Mapovu yamekujaa hata kufikiri unashindwa! unaposema wanawake wambea halafu mgombea mwenza ni mwanamke, mama yako mzazi ni mwanamke...kwa hiyo hao nao ni wambea au?

Mijanamke inayoipenda ccm ni zaidi ya wambea,hutaki kanywe sumu
 
Hatujapagawa nyie arusha ukabila tu mtampigia huyo ndugu yenu lowasa kumbukeni tanzania ina mikoa 27 kwani hatulitambui hilo mtajibeba hatuna shida na arusha yenu

Wewe kilaza lowasa ni chaguo la watanzania na ccm haitakiwi Tanzania mzima
 
Kuna picha moja alikua akihutubia Viti sema ndo nimeshindwa ku-attach.

Wameanza kuonja shubiri ya kukataliwa nq bado hapo hata kuku watawakataa ccm ni mashetani kabisa
 
Hatujapagawa nyie arusha ukabila tu mtampigia huyo ndugu yenu lowasa kumbukeni tanzania ina mikoa 27 kwani hatulitambui hilo mtajibeba hatuna shida na arusha yenu

Kuishiwa hoja na kuzidiwa huku.

Ni kweli ccm haikubaliki maeneo mengi nchini.

Hata EL asipofanya kampeni kura yangu anayo.
 
Haha pale USA-RIVER aliahirisha mkutano haukua na watu kabisa halafu CCM wLikua wakitangaza watu waende ati watapewa bodaboda!!!

mnadanganyana sana mitandaoni, bahati nzuri nilikuwepo mkutano wa jana USA river sikutegemea kuwaona watu kiasi vile. UKAWA mkitegemea sana hizi habari za mitandaoni mtakuja kuangukia pua vibaya sana
 
Back
Top Bottom