gogo la shamba
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 6,669
- 2,165
Nilisikia tetesi kwamba,mgombea mwenza wa ccm atakuwa na mkutano wa kampeni leo Arusha mwenye habari na picha atutupie

Haha pale USA-RIVER aliahirisha mkutano haukua na watu kabisa halafu CCM wLikua wakitangaza watu waende ati watapewa bodaboda!!!
mambo magumu kwelikweli
cjabahatika kupata picha ila Samia leo alikuwa kwnye viwanja vya ngarasero Usa River akinadi sera zake,hakukuwa na watu kwakwel zaid waliokuwepo walikuja na magari cjui walitoka wapi ndo hayo tu mkuu
Haha pale USA-RIVER aliahirisha mkutano haukua na watu kabisa halafu CCM wLikua wakitangaza watu waende ati watapewa bodaboda!!!
ccm kwisha Arusha magari yalikuwa mengi kuliko watu
Kule kwetu kuna masemo: KASEGASEGA NA KALILALILA, yaani he who laughs best lT 2who laughs last. Sisi kule kwetu huwa tunaheshimu wanawake. Hizi khejeli zitajawatokea puani watch this space. WM
iiowatuwalioletwa na coster usa river walitoka elerai na maeneomengine bada ya mgombea kupanda jukwaani watu wa coster waliondoka kwani walikuja kujaza uwanja hatarobo hajafika baada ya mgombea kupanda jukwaani coster ziliondoka
Toa upuuzi wako hapa,suala sio mwanamke bali CCM na mkutano wao wa kampeni."shule mlienda kusomea ujing"=faiza foxy
iio
Acheni umbea kama mianamke, kura hazipatikani kwa kudanganyana kwenye mitandao, yule mama kwa watu aliopata tena kwenye ngome inayoitwa ya ukawia huwezi dharau hata hilo Duni likienda mikoani lenyewe halipati hata robo ya watu aliopata yule mama pale usa, ombeni clips siyo mnadanganyana tu. Sijategemea vijana ambao wanaonekana kupata elimu lakini wanadanganyika kwa vitu vidogo, mijizi leo inasifiwa kwa kisingizio eti mfumo na kila jitu linaitikia kwa kushangilia kabisa kama mizuzu mfumo mfumo...duu nchi kama imelaaniwa!