Mkutano wa madaktari NSSF Water Front

hakuna kinachoendelea hapa,wote wamekubali kum'uunga mkono JK cdm haina lao hapa m'a DK wote wapo m,akinui na ni ccm damu,vimon anatoa taarifa za uongo hakuna cha wimo wala nini,wanaipongeza serikali kwa kwa wa chop out GS B.Nyoni,
Mtawatambua kwa maneno yao.....
 
wanaichambua serikali isivyo jali kutatua kero na madai yao,hawa jamaa wanamwaga point
aaaa lete vitu vieleweke mbona tena unakuwa kama upande ule wanao cma ccm imeleta maendeleo makubwa

 
Vimon wapi habari mkuu. Hii ni live coverage lakini naona kama huendi na pace.
 
JK hawezi kuyatimua hayo matango pori waziri na deputy wake.
 
Vimon acha basi kikao kiishe, mbona hiyo ni closed meeting unawahi kubwabwaja?? who are you representing sasa wewe?? au ndio mliotumwa na serikali kunyonya hali za madaktari??

@#$%^&*()(OIUGFCVBNM+_)(*&^%$# we
Kwani kuna siri gani?????
 
Wewe ni nani hapo,Mwandishi,Daktari au shushu?
 
jamani wasigome kwanza mamangu ndo kwanza kafika dar leo ili walau atibiwe kwanza sina pesa za kumpeleka India mimi
 
Vimon umekamatwa au? Mbona kimya? Sisi huwa tukiona kimya hivi kwenye battle huwa tunasema missing in action, Vimon is missing in action!
 
umetumwa nahisi wadau huyu hayupo ukumbini hapa sipo kulumba

Mkuu Vimon hachana nae huyo,kwanza hauoni tofauti ya wewe na yeye?mtu hajui hata kuandika,endelea kutuhabarisha mkuu
 
wadau kunamaamuzi magumu yanafanyika nitawajulisha nini kinaendelea.
 
Vimon acha basi kikao kiishe, mbona hiyo ni closed meeting unawahi kubwabwaja?? who are you representing sasa wewe?? au ndio mliotumwa na serikali kunyonya hali za madaktari??

@#$%^&*()(OIUGFCVBNM+_)(*&^%$# we

Safi mkuu kwa kusawazisha
Pamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…