daktari anasisitiza mwandishi wa habari wa ofisi ya wazari mkuu apewe onyo kwa kukurupuka na kupotosha umma. Pia serikali ijue kuwa hakuna mtu aliyezaliwa kuwa waziri. Waziri alifanya dhambi ya kudanganya tena Bungeni. Pamoja na kudanganya bunge akadanganya watanzania wote. wanataka time frame ya mawaziri kuondolewa (Mzizi wa fitina)
Mkuu si umuache Vimon atupe habari sisi ambao tuko mbali na upeo wa hiyo habari? Hivi unadhani serikali haipo hapo Water Front?Vimon acha basi kikao kiishe, mbona hiyo ni closed meeting unawahi kubwabwaja?? who are you representing sasa wewe?? au ndio mliotumwa na serikali kunyonya hali za madaktari??
@#$%^&*()(OIUGFCVBNM+_)(*&^%$# we
Acha kususa tuhabarishe mkuu.basi sitoi tena updates
Ikitokea hivyo matatizo yao yata sikilizwa mapema sana....Kikinuka kinuke hadi Arumeru
Serikal ya JK imeshindwa kuongoza,haiwezekan mpaka leo wafanyakaz na wahadhari wa vyuo vikuu hatujapata mshahara.