kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,142
- 24,447
Ukiwa hawa ndio unasifu umati wa chadema ikiwa miaka 7 nyuma hiyo ndio ilikuwa idadi ndogo ya mahudhurio ni dhahiri chadema imepoteza mvuto ijitathimini!Ukihutubiwa na Mwenyekiti wa Chama hicho, Freeman Mbowe.
Katika Mkutano huo Mbowe amesisitiza kwamba muda wa kuing'oa ccm Madarakani ni sasa na wala hakutakuwa na Dk za Nyongeza, Hii ni kwasababu dhiki za nchi hii hazikuletwa na Mungu, zimeletwa na CCM, na ifike mahali tuseme basi.
View attachment 3026815View attachment 3026816View attachment 3026817