Xhizo de incredible
Senior Member
- Nov 14, 2018
- 112
- 176
Naomba kuuliza wataalamu hivi mwaka huu kikao cha bodi ya wahandishi(ERB) wanakaa lini kutoa approve ya kusajili graduate engineers?
Huwa wana utaratibu wa kukaa kila kota. Mara ya mwisho walikaa mwaka jana december. Mwaka huu matarajia mwezi huu au wa nne majina mapya watatoa.Naomba kuuliza wataalamu hivi mwaka huu kikao cha bodi ya wahandishi(ERB) wanakaa lini kutoa approve ya kusajili graduate engineers?
Sawa nimekuelewaHuwa wana utaratibu wa kukaa kila kota. Mara ya mwisho walikaa mwaka jana december. Mwaka huu matarajia mwezi huu au wa nne majina mapya watatoa.
Hivi ma geologist huwa wanasajiliwa katika hii bodi au nawao wanabodi yao?
Ahsante kwa taarifa, maana wengine wanajisemea tu kuna kujisajili halafu ukiwauliza unajisajili wapi hawana majibu.mkuu hope your geologist bodi ya wajiolojia nchini hatuna ila itaanzizwa hivi karibuni na ipo kwenye mchakato wa mwisho refe last year TGS meeting.
Kama ulisoma engineering geology utasajiliwa na erb ila kama ulisoma geology ambayo sio engineering hautasajiliwa na erb.Hivi ma geologist huwa wanasajiliwa katika hii bodi au nawao wanabodi yao?