Ralphryder
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,933
- 1,294
mkuu uwezi amini wakati
mchungaji wa dini ya kikristo anasali watu walikuwa wakicheka sana na
kupiga kelele hasa pale mchungaji alipo sema kwajina la baba na
lamwana,, imeniuma sana
CCM wameruhusu Tv yao ioneshe matangazo ya Mke wao kipenzi.
Mbunge wa tandaimba aliye porwa anaongea sasa anasema ilani ya chama ni mchakamchaka wafuasi wanaitikia chinja
utapigwa ban ohoo! We taja vibarakashiaSiku jua kama CUF ina wafuasi kiasi hiki, ila 99% wamevaa vibarakashia
Anazungumzia swala la mboe kumiliki disko,,anasema chadema kina mausiano na ccm
CCM wameruhusu Tv yao ioneshe matangazo ya Mke wao kipenzi.
Huo ndio ukweli wenyewe mkuu, kama ni BAN wanipe tuutapigwa ban ohoo! We taja vibarakashia