Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,774
- 50,274
ku risk maisha bure kwa kupanda helcopter wakati hakuna kiti watapata as chauma!Dakika chache kabla ya Helkopta kutokea uwanjani kulikuwa na watu si zaidi ya kumi.
Baadaye Helkopta ilipofika watu wakaongezeka kiasi na mkutano kuanza.
Wasemaji walikuwa ni Devotha Minja na Salum Mwalimu ambaye muda mwingi alitumia kuelezea siasa ya CUF ya Maalim seif.
Kama kawaida aliishutumu Kampeni ya No Reforms No Election!
View attachment 3409009
Hapa Salum Mwalimu akihutubia na Hawa ndiyo waliohuduria.
Hata watu hawakuwepo. Na watu ndiyo hawakuwepo!!ku risk maisha bure kwa kupanda helcopter wakati hakuna kiti watapata as chauma!
Watapewaku risk maisha bure kwa kupanda helcopter wakati hakuna kiti watapata as chauma!
kwahiyo kuna mtu wa ccm ataachie ulaji ampe chaua? sidhani....Watapewa
Chaumma inaimarika kwa kasiDakika chache kabla ya Helkopta kutokea uwanjani kulikuwa na watu si zaidi ya kumi.
Baadaye Helkopta ilipofika watu wakaongezeka kiasi na mkutano kuanza.
Wasemaji walikuwa ni Devotha Minja na Salum Mwalimu ambaye muda mwingi alitumia kuelezea siasa ya CUF ya Maalim seif.
Kama kawaida aliishutumu Kampeni ya No Reforms No Election!
View attachment 3409009
Hapa Salum Mwalimu akihutubia na Hawa ndiyo waliohuduria.
Wameahidiwa wabunge 10 na vitimaalum 25ku risk maisha bure kwa kupanda helcopter wakati hakuna kiti watapata as chauma!
Hawa bila helcopter watahutubia nyasi. Naungana na anayesema ni ku risk maisha bure.Hata watu hawakuwepo. Na watu ndiyo hawakuwepo!!
Wakinyimwa hivyo viti watafanyaje?Wameahidiwa wabunge 10 na vitimaalum 25
Labda watachomoa wale ambao hawawapendi. Unajua siku hizi anayeamua nani awe mbunge na wapi ni raiskwahiyo kuna mtu wa ccm ataachie ulaji ampe chaua? sidhani....
Mama abdul atatoa maelekezokwahiyo kuna mtu wa ccm ataachie ulaji ampe chaua? sidhani....
Hawana la kufanya. Hukuona mwaka 2020 Mbatia na NCCR walikuwa wameahidiwa viti na magufuli ili wawe kambi ya upinzani ya mchongo na baadae akaghairi na kuchukuwa wale covid wa CHADEMA? Hawa CHAUMMA hata wakipewa viti itakuwa ni vichache sana kwa sababu kuna kimada mwingine ACT naye anataka apewe viti. Wachache wanaweza kupewa ukuu wa wilaya/mkoa, na teuzi nyingine. wale kina mimi wasio na majina wataishia kusaga lami tu.Wakinyimwa hivyo viti watafanyaje?
Kasi kuelekea upotevuni...Chaumma inaimarika kwa kasi