mwanakidagu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 208
- 78
Leo umekunywa bia ngapi mkuu?
amani moyoni kwa watu wangu pale ulemo. Vivga cdm.viva vijana wa ulemo.
Leo umekunywa bia ngapi mkuu?
Mahudhurio yalikuwaje lakini?Jana usiku viongozi wa CCM kata ya Ulemo hawakulala. Walitembea nyumba hadi nyumba kuhamasisha watu wasiende kwenye mkutano wa leo.
Kwa kusaidiwa na Polisi, wamejaribu kuwatia hofu wakazi wa hapa.
Polisi walikuwa wengi ndani ya uniform na askari kanzu. Mmoja alikuwa ndani ya suti akiwa na miwani yenye headphone, sijajua ni kitu gani.
Gari za Polisi zilikuwa mbili, ni ile ya kutoka Wilayani na ya Kituo cha Polisi Misigiri. Walikuwa zaidi ya ishirini na silaha za moto na mabomu ya machozi.
kitila wewe si wa kaskazini chadema huiwezi
Jana usiku viongozi wa CCM kata ya Ulemo hawakulala. Walitembea nyumba hadi nyumba kuhamasisha watu wasiende kwenye mkutano wa leo.
Kwa kusaidiwa na Polisi, wamejaribu kuwatia hofu wakazi wa hapa.
Polisi walikuwa wengi ndani ya uniform na askari kanzu. Mmoja alikuwa ndani ya suti akiwa na miwani yenye headphone, sijajua ni kitu gani.
Gari za Polisi zilikuwa mbili, ni ile ya kutoka Wilayani na ya Kituo cha Polisi Misigiri. Walikuwa zaidi ya ishirini na silaha za moto na mabomu ya machozi.
kitila wewe si wa kaskazini chadema huiwezi
Wamehudhuria watu mia na kumi hahahhahahahahahahahaah