Mkutano wa CHADEMA Misigiri-Iramba

Mkutano wa CHADEMA Misigiri-Iramba

S2dak_Jr

Senior Member
Joined
Jul 15, 2012
Posts
198
Reaction score
45
Wanajamvi,

Jana kulikuwa na Mkutano wa CDM eneo la Kiomboi, Iramba. Bahati mbaya sikupata muda kufika hapo.

Leo Makamanda wapo Misigiri na nipo hapa tangu asubuhi ili niwaletee kila kinachotokea hapa.

Sasa naona FFU wanaranda mitaani. Nadhani kuna makubwa yatatokea hapa. Tusubiri, it's a matter of time. Ila hali ni tulivu.

Kamanda Dr. Kitila atakuwepo na Makamu Mwenyekiti wa Zanzibar.

Stay tuned!

Update:
Kwa sasa Makamnda wanafanya Mkutano eneo la Ulemo. Mida ya saa tisa hivi watakuwa hapa Misigiri.
 
Tunaendesha shuguli kisayansi sasa so no need of worries
good time ktk haa=rakati hizi
 
wakati wengine wanatunga uongo pale makao makuuuuuu kitila anajenga chama Iramba.
 
Kadiri siku zinavyoendelea kwenda,binadamu anazidi kuwa wa ajabu sana!
 
Usihofu na hao FFU wana risasi we una watu , wajue ICC ipo njiani
 
wakati wengine wanatunga uongo pale makao makuuuuuu kitila anajenga chama Iramba.

Nimesoma maandiko ya kinafiki ya vijana wa ZZK. Hawa ni wachumia tumbo. Tuache waongee, Dr. Kitila Mkumbo anaendeleza kazi ya kumng'oa Mwigulu Nchemba 2015.
 
CDM endeleza makamuz hakuna kulala mpka kieleweke 2015!
 
Eti CDM ni ya kaskazini, sasa hivi sera ni Twanga kote kote, Sugu anaitwa Rais Mbeya, Msigwa Iringa, hata Zitto Kabwe alitaka kujaribu kutmia watu wa Kaskazini kuchafua hali ya hewa, mambo yamebadirika sana siku hizi, TWANGA kote kote!
 
Makamu Mwenyekiti Taifa anaunguruma sasa.

- anawatoa hofu wananchi juu ya uwepo wa Polisi wengi.

- anasema serikali awamu ya nne ni mbovu kuliko zote.
 
Anapekua kitabu cha Makadirio ya Budget kwa Secondary Iramba.

Mwaka huu Milion 100 zimepelekwa Tumaini Sec School. Lakini hakuna kilichofanyika hapo shuleni.

Shule hakuna madawati.
 
Anasema tuachane na kuchagua CCM. Na CCM ni kama mwanamke kuwa kila unachokifanyia itakwambia ongeza hiki.

Lakini tukiikataa basi tutakuwa tumemaliza matatizo.
 
Back
Top Bottom