Mkutano wa CHADEMA - Mbeya

Aluta continua, mpaka wakae.
 
nawakubali chadema, lakini sijawahi kuiona katiba yao ya chama
Nipo pamoja na chadema
 
nawakubali chadema, lakini sijawahi kuiona katiba yao ya chama
Nipo pamoja na chadema

mkuu, as long as umeweza kupost thread hp jf nakta unauwezo wa kubrowse. Google neno chadema then katiba utaipata.
 
nawakubali chadema, lakini sijawahi kuiona katiba yao ya chama
Nipo pamoja na chadema

mkuu, as long as umeweza kupost thread hp jf najua unauwezo wa kubrowse. Google neno chadema then katiba utaipata.
 
Mafisadi tumewachoka, sasa tunachagua watu wanaotuthamini hatujali kama ni wasanii wa bongo fleva au wauza chumvi sokoni...mpaka kieleweke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…