Mkutano wa CHADEMA - Mbeya

hoja ya serikali 3 ni ya muda mrefu sana waasisi wake si Chadema kwa mara ya kwanza ilizimwa mwaka 1984
kimsingi Chadema inaunga mkono haya;
1. Serikali 3
2. Rais kupunguziwa madaraka
3. Wabunge kufukuzwa wanaposhindwa kutimiza wajibu wao
 
Lakini Warioba kasema wakusanye kutoka kwa wanachama wao.

Je, hao waliokusanyika hapo ni wanachama wao?

mjomba , zaidi ya nusu ya watanzania ni wanachama wa cdm , umebaki wewe na Hamidu tu , hata hivyo sababu za nyie kubakia huko zinafahamika , tunawatarajia siku za baadaye hasa mkishakamaliza hako ka programu kenu .
 
mkuu inasemekana picha zina sauti nyororo mno kuliko maandishi .
 
Vipi Zanzibar mtaenda kufanya mikutano mana kule mako chadema wapo mwambieni Mbowe na dr slaa waende chama ni chakitaifa au hamuwataki wazanzibar?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…