Mkutano wa chadema mbeya vijini(mbalizi)

Mpaka nione fisi ndiyo niamini kuwa ni mkutano wa chadema...
 
hakuna hata tembo wa kuvutia watuuu au hata chimba wa nnjini au chamaki nchanga chadema wabaya nyieee ila naona kama hizi picha feki ....yaani watu wajae hvyo bila fichi au chimba wa kuwavuta au nnganga wa kienyeji kweli
 
Safi sana makamanda...hapo hawamjui msaliti wa kigoma wanamjua mzee wa Upako ana Prime Minsiter Mwambigija
 
kwa pembeni naona kuna malori na mafuso kibao yametoka au siyo yenyewe.....hiki chama kwa kubeba watu na malori hakijambo itabidi kova apige marufuku kabisa ....haiwezekani watu wajae hivi bila kuletwa na malori na mafuso au kuwepo fisi naomba polisi wawakamate waliondaa huu mkutano hasa huyo mwambiligi watu hawaogopi hata alshabab wanajazana tuuuu....kova onyesha kiwango chako na uwezo wako katika hili tukomeshe hii tabia ya watu kujaaa kwenye mikutano namna hiiii
 
Aiighhhh..

Hivi naona watu au sisimizi, mchanga?? Hapo hayupo Dr Slaa wala Mbowe.!! hayajatumika maroli wala mafuso..!! Hakuna cha fisi wala Ubwabwaja..!!!

Long live my Party

BACK TANGANYIKA
 

kamanda acha kurushia picha ...utatuaa kwa presha sisi watu wa lumumba inatuuma sana mkutano ujae watu wakt anaehutubia ni kiongozi wa mtaaa......mpunguze kidogo jamani sisi ni ndugu hapo bado hamjafanya wa ukawa ..huku lowasa atuumize huku chadema kwani hamuwezi kufanya mikutano yenu hadi mrushe picha hiki kipengele makamba alikisahu kwenye ule mswada wacha nimwambie akichomeke kabla raisi hajasain ule mswada ili tuwakomeshe hawa chadema
 
nilishawahi kusema humu hata wewe useme leo kutakua na mkutano wa chadema watu watajaa tu
 
Hiyo ndiyo CHADEMA isiyohitaji wasanii wa kuvua nguo jukwaani ...

Acha nicheke kimyakimya...teh teh.teh

Hivi mkuu unajua kwamba huyo msanii ameongozana na "Mzalendo wa kweli" kwenye ziara zake..??

BACK TANGANYIKA
 
Cc.Chabruma.faizafoxy.musakinyesi


swissme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…