Mkutano wa CHADEMA kufanyika wapi?

ryana fan

JF-Expert Member
Apr 27, 2018
1,638
2,000
Habari ndugu zangu. Baada ya salamu niende moja kwa moja kwenye mada yangu.

Kama tunavyojua kuwa leo na kesho chama cha Mapinduzi CCM inapitisha Mgombea wao kupitia mkutano mkuu wa chama. Na mkutano huo wanafanyia ukumbini kwao.

Vipi mkutano mkuu wa CHADEMA kitafanyikia wapi? Hotelini au mlimani city au watakodisha ukumbi wa CCM Dodoma au watafanyia Ufipa pale makao makuu ya chama?

Naomba mwenye kujua anisaidie manake hiki ni chama kikuu chenye malengo ya kuchukua dola.

Nawasilisha

IMG_4432.JPG
IMG_4431.JPG
 

NAWATAFUNA

JF-Expert Member
Nov 14, 2019
7,455
2,000
Watafanyia mitandaoni,si ni chama cha mitandaoni.mtaani akipo kimebaki kwenye mitandao tu.
 

ryana fan

JF-Expert Member
Apr 27, 2018
1,638
2,000
Aibu hata ukumbi hamna kwani Yale makato ya wabunge wamefanyia Nini si wajenge ofisi na ukumbi wa mikutano au kama kawaida Ni Mali ya mwamba hakuna kuhoji

Wakikujibu unitaq mkuu manake na mimi natafuta majibu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom