mkutano wa CHADEMA Kawe watu wanamiminika tu

rub

Member
Joined
Jul 1, 2013
Posts
24
Reaction score
5
Watu wanazidi kumwagika hapa kawe wakati tunamsubilia dr. Slaa kuwasili hapa.
 
tupia picha mkuu...
utupe updates za yanayotokoea huko na yatakayoongelewa..pamoja sana
 
Najaribu kuupload picha inagoma ila watu ni weng sana
 
Tutafika tu, watawala watulie, huku mwanza ccm wamebuni mbinu kama akija kiongozi mkubwa daladala zinajazwa mafuta na kias cha hela wanasomba watu kuleta mkutanoni, lakin cdm ata diwani akiitisha mkutano panafulika
 
Aisee tuko wengi, wengi, wengi mno!
Viva CHADEMA.
Chama la Ukweli Tz Nzima.
CC: chama gongo la mboto.
 
Last edited by a moderator:
Siku matazamio yenu kwa cdm yatakapokuwa tofauti cjui mtaimba wimbo gani hicho chama. Me nachojua ktk siasa ni maslahi tu km alivowahi kusema aliekuwa pm wa UK Margareth Thatcher,kwmb ktk siasa hakuna rafiki bali ni maslahi tu ya hao viongozi na kundi lao la wachache wanaonuniwa kutawala.usitegemee umaskini wako utamalizwa kwa cdm kushika dola,fanya kazi kwa juhudi
 
Maskini akili yako inapaswa kupigwa deki kwa jik kwa hiyo CCM ndio watawale milele duh nchii kuna wehu wengi demokrasia kwenu ni sawe na mawe
 
Siku matazamio yenu kwa cdm yatakapokuwa tofauti cjui mtaimba wimbo gani hicho chama. Me nachojua ktk siasa ni maslahi tu km alivowahi kusema aliekuwa pm wa UK Margareth Thatcher,kwmb ktk siasa hakuna rafiki bali ni maslahi tu ya hao viongozi na kundi lao la wachache wanaonuniwa kutawala.usitegemee umaskini wako utamalizwa kwa cdm kushika dola,fanya kazi kwa juhudi

Tatizo system ya CCM haiachii watu kufanya kazi kwa juhudi? Ukiajiriwa ukikuta kuna mianya rushwa utafanya kazi au utakula rushwa? Umejaribu kufungua kampuni ukaona matatizo yake? Umepata kibarua mshahara unaishia kwenye nauli je utaishije?
Uwajibukaji na uadilifu haupo CCM. Kama CDM watafanikiwa kwa hilo mbona maisha bora yatanukia kwa kila Mtanzania?
 
Back
Top Bottom