kikubwa wakasome yeye na mwenyekiti wetu! kweli ni watu makin na wawajibikaji lkn elimu ya cheti nayo mhim!!!
Hii english yako KIBOKO!! bila shaka itakuwa imetoka shule zetu za kata! hahahaahaha kweli tumeua elimu!!
Mkuu unatisha!!
Kama na siasa unaweza basi uko juu, maana kwenye lile jukwaa letu huwa unatoa burdani za uhakika na mwenzio Madame B!! Kama ni kura tu mkuu utapata na nitakuunga mkono kwa kila hali, mradi tu usiwe kile chama cha kupukutisha magamba yasiyopukutika!! Keep it up Mkuu!!
Ye akiwa rais, me nitakuwa makamu wake.
Wote wanawake.
Sasa Mkuu siku mmepata ma-deal si nchi itabaki haina mwenyewe hii? Tuhurumieni jamani!! Ahahahahahahahahah!!!!!!!!!!!