Mkutano wa CHADEMA Chunya Wakosa Watu

Mkutano wa CHADEMA Chunya Wakosa Watu

Baki CCM hujalazimishwa. Wewe uliwacheka CHADEMA kipindi wanaitisha maandamano ya UKUTA, wakati Mbowe anapewa kesi ya ugaidi na kipindi Lissu analimwa risasi. Leo kwa unafiki wako unajifanya kudai wanalamba asali, huna msingi wa kuiongelea CHADEMA maana wakati wanahangaika uliwakebehi na kuwacheka.
Mbowe akiwa amepanda V8 mbona huulizi Kama na sisi alitupandisha? Unatuuliza akitaka maandamano?
 
Mbowe akiwa amepanda V8 mbona huulizi Kama na sisi alitupandisha? Unatuuliza akitaka maandamano?

Rais ana waacha UWT anaenda Bawacha
Lzm utoe mlio kwenye kila tundu ktk mwili wako.
Mama Samia tupeleke kwenye amani,siasa za kuvunjana miguu kwa risasi sababu tunapingana kisiasa TZ hatujazizoea
 
Rais ana waacha UWT anaenda Bawacha
Lzm utoe mlio kwenye kila tundu ktk mwili wako.
Mama Samia tupeleke kwenye amani,siasa za kuvunjana miguu kwa risasi sababu tunapingana kisiasa TZ hatujazizoea
Akili kweli hamna. UWT si yupo nao kila siku? Na tarehe 19 akitimiza miaka miwili yupo nao tena
 
CHADEMA siku ya jana walifanya mkutano chunya, mkutano huo ulikosa watu kabisa hali ambayo imeacha maswali kwa viongozi wa chadema.

Tuliwaambia kuwa watanzania wengi hawapo nanyi. Watanzania wapo busy kusaka maisha, mkabisha mkatukana. Ila Sasa mmeanza kukutana na aibu kubwa.

Ushahidi wa picha chini.
View attachment 2545830
Watu sasa hivi tupo na ubomoaji wa cuf ya Lipumba ikiwa ni malipo sahihi kwake kwa kile alichokifanya cha kuubomoa upinzani.
 
Tanzania haina chama chaupinzani chenye mvuto tena.

Tumejua rangi zao baada yakunyomwa asali na jembe.
100% Uposawa sawa
Wanao tutawala Mtuhan Wakututetea Majnga Zaid
Tanzania Itapata Upinzani wakeli Kwa wajukuu wetu kama si Watotowetu
 
Ila mkuu watu si huanzia wawili? Mbona wapo🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom