Mkutano Wa CHADEMA Butiama

Mkutano Wa CHADEMA Butiama

Arnold Ringo

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2014
Posts
2,318
Reaction score
394
kutoka Butiama kwa baba wa taifa mkutano wa Chadema ukiendelea viongozi mbali mbali wakiwa jukuwana kuongea na wanainchi Chadema mwendo ni ule ule hakuna kulala mpaka. Mod Nakuomba Usiunge Habari hii na Habari nyingine
attachment.php

Mkutano wa hadhara uliofanywa jana katika kijiji cha bumangi wilaya ya butiama ulikuwa unaongozwa na mbunge wa musoma mjini mhe vincent nyerere,mwenyekiti wa chadema mkoa wa mara mhe kayere pamoja na makamanda waandimizi kutoka musoma.Wakazi hao wa kijiji cha butiama kwa sasa wamegoma kuwa jiwe la msingi la ccm,wamesema ccm ya mwalimu nyerere haikuwa inamtukana Jaji Warioba,Mzee Butiku wala Salim bali ilijikita zaidi kujenga umoja na kuwaletea wananchi maendeleo hivyo wameamua kuikaribisha chadema katika kijiji hicho na wamesema kwa sasa chadema ndiyo ina matumaini ya kulijenga taifa kama ilivyokuwa ccm ya mwalimu nyerere na si hii ya sasa.Team chadema twende kazi
 
Attachments

  • chadema1.jpg
    chadema1.jpg
    14.7 KB · Views: 496
  • chadema2.jpg
    chadema2.jpg
    80.3 KB · Views: 1,569
Nasubiri kuona kama Lissu ana ubavu wa kuporomosha matusi dhidi ya Baba wa Taifa hapo hapo Butiama! Hao wanaume hawachelewi "kumtema".
 
Nasubiri kuona kama Lissu ana ubavu wa kuporomosha matusi dhidi ya Baba wa Taifa hapo hapo Butiama! Hao wanaume hawachelewi "kumtema".

Wewe Ndio unasema Hayu Lisu Hakumtusi mtu kutokana na uwelewa wenu mdogo, Na nyie mnavyonyonga Maoni ya wananchi kwenye katiba je ni sahihi?
 
cdm mnasubiri watu wawarushie mawe ndo mjue wamepoteza imani na nyie?
 
Nasubiri kuona kama Lissu ana ubavu wa kuporomosha matusi dhidi ya Baba wa Taifa hapo hapo Butiama! Hao wanaume hawachelewi "kumtema".
Bingwa wa kuporomosha matusi ni selukamba na mbunge wa mtela
 
Nasubiri kuona kama Lissu ana ubavu wa kuporomosha matusi dhidi ya Baba wa Taifa hapo hapo Butiama! Hao wanaume hawachelewi "kumtema".

Tofautisha matusi na taarifa
 
ccm bila kusomba watu kwa fuso mkutano utakuw na viongozi wao tu, tena kuna baadhi ya viongozi wao pia hawaendi kwa madai ccm hakuna jipya namfahamu mmojawapo
 
ccm bila kusomba watu kwa fuso mkutano utakuw na viongozi wao tu, tena kuna baadhi ya viongozi wao pia hawaendi kwa madai ccm hakuna jipya namfahamu mmojawapo

Mfano Mojawapo ni ule Mda halo uliokua unarushwa na kituo kimojawapo cha TV hapa nchini, walienda kusomba watu kule vingungutu na Mo haaeneo engine ya Jiji la Dar, ili kuja kuzomea zomea kama walivyokua wanafanya BMK, na ujira wa hao vijana ni 5000.
 
mbunge makini na jasiri LETICIA NYERERE mwakani anachukua hilo jimbo ...
 
Back
Top Bottom