Mkutano wa CCM uzuiwe ili kuepusha uvunjifu wa amani

Rais keshasema hataki kucheleweshwa!! Hamuelewi??? Naham kumzaba mbata bavicha mmoja mwenye kiherehere! Paah mpaka apepesuke,njoeni tu na siasa uchwara
 
Jeshi la police linajishushia heshima kwa kutoa kauli zenye utata, double standard. ni woga na wala sio upendeleo kwa ccm
Tumia akili japo kidogo! Yaani ulinganishe Chama Tawala na Vyama vidogo hivi? Acha utani ndugu tangu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…