Chifu Nsyepa
Senior Member
- Jul 9, 2016
- 106
- 98
Karibu DodomaKutokana na viashiria vingi vya uvunjifu wa amani vinavyoendelea kujitokeza IGP Mangu hana budi bali kuuzuia mkutano wa CCM uliopangwa kufanyika Dodoma tarehe 23.
IGP Mangu hivi karibuni ameaema jeshi lake halikipendelei Chama tawala bali wao huzuia mikutano ya wapinzani kwa kuwa wanakuwa wamepata taarifa za ki intelijensia kuwa kuna uvunjifu wa amani utatokea iwapo mkutano husika utafanyika.
Nionavyo ni kuwa bila taarifa za ki intelijensia mkutano wa CCM ni vema usifanyike maana BAVICHA wameazimia kuuzuia mkutano huo, huku UvCCM nao wakijipanga kuhakikisha mkutano Na huo unafanyika bila taabu.
Hivyo basi kutokana na sababu alizotoa IGP basi ni wazi vurugu zitatokea mkutano huo ukifanyika.
Wewe Chifu Nsyepa hutafanikiwa kwa lolote ktk uchochezi wako. Kwa taarifa yako Mkutano utafanyika na JPM atalamba chaka .
Wewe Chifu Nsyepa hutafanikiwa lolote ktk uchochezi wako. Kwa taarifa ya Mkutano utafanyika na JPM atalamba chako .
Labda ni vice versa kuhusu ufuatiliaji wa yombo vya habari, BAVICHA wameongea jana kuwa wana plan B ya kuuzuia mkutano huo, yote na yote najua Jeshi la CCM litahakikisha mkutano huo unafanyika kuwe na. viashiria vya fujo kusiwe navyo, CCM ipo juu ya sheria.mkuu,mbona inaelekea hufuatilii vyombo vya habari? huu uzi wako naona umechelewa.mkutano wa ccm utafanyika bila kikwazo chochote, bavicha wameshatoa tamko kuwa hawatakwenda dodoma.
Kutokana na viashiria vingi vya uvunjifu wa amani vinavyoendelea kujitokeza IGP Mangu hana budi bali kuuzuia mkutano wa CCM uliopangwa kufanyika Dodoma tarehe 23.
IGP Mangu hivi karibuni ameaema jeshi lake halikipendelei Chama tawala bali wao huzuia mikutano ya wapinzani kwa kuwa wanakuwa wamepata taarifa za ki intelijensia kuwa kuna uvunjifu wa amani utatokea iwapo mkutano husika utafanyika.
Nionavyo ni kuwa bila taarifa za ki intelijensia mkutano wa CCM ni vema usifanyike maana BAVICHA wameazimia kuuzuia mkutano huo, huku UvCCM nao wakijipanga kuhakikisha mkutano Na huo unafanyika bila taabu.
Hivyo basi kutokana na sababu alizotoa IGP basi ni wazi vurugu zitatokea mkutano huo ukifanyika.
Siipendi CCM but sioni sababu ya msingi ya kikao kuzuiliwa, acha kikao kifanyike JPM apewe rungu awanyooshe na kuwatumbua. Kuchelewa kumkabidhi chama ni kuhalalisha uozo uliopo ndani ya CCM. Naamini akipewa chama atarudisha mali zetu mfano viwanja vya umma kama CCM kirumba, Sheikh Amri Abeid Arusha, Ally Hassan Mwinyi Tabora na vingine vingi. Huu ni mtizamo wangu tusitafutane....Kutokana na viashiria vingi vya uvunjifu wa amani vinavyoendelea kujitokeza IGP Mangu hana budi bali kuuzuia mkutano wa CCM uliopangwa kufanyika Dodoma tarehe 23.
IGP Mangu hivi karibuni ameaema jeshi lake halikipendelei Chama tawala bali wao huzuia mikutano ya wapinzani kwa kuwa wanakuwa wamepata taarifa za ki intelijensia kuwa kuna uvunjifu wa amani utatokea iwapo mkutano husika utafanyika.
Nionavyo ni kuwa bila taarifa za ki intelijensia mkutano wa CCM ni vema usifanyike maana BAVICHA wameazimia kuuzuia mkutano huo, huku UvCCM nao wakijipanga kuhakikisha mkutano Na huo unafanyika bila taabu.
Hivyo basi kutokana na sababu alizotoa IGP basi ni wazi vurugu zitatokea mkutano huo ukifanyika.
Siipendi CCM but sioni sababu ya msingi ya kikao kuzuiliwa, acha kikao kifanyike JPM apewe rungu awanyooshe na kuwatumbua. Kuchelewa kumkabidhi chama ni kuhalalisha uozo uliopo ndani ya CCM. Naamini akipewa chama atarudisha mali zetu mfano viwanja vya umma kama CCM kirumba, Sheikh Amri Abeid Arusha, Ally Hassan Mwinyi Tabora na vingine vingi. Huu ni mtizamo wangu tusitafutane....
Tutajie viashiria unavyoona, usidanhanye ummaKutokana na viashiria vingi vya uvunjifu wa amani vinavyoendelea kujitokeza IGP Mangu hana budi bali kuuzuia mkutano wa CCM uliopangwa kufanyika Dodoma tarehe 23.
IGP Mangu hivi karibuni ameaema jeshi lake halikipendelei Chama tawala bali wao huzuia mikutano ya wapinzani kwa kuwa wanakuwa wamepata taarifa za ki intelijensia kuwa kuna uvunjifu wa amani utatokea iwapo mkutano husika utafanyika.
Nionavyo ni kuwa bila taarifa za ki intelijensia mkutano wa CCM ni vema usifanyike maana BAVICHA wameazimia kuuzuia mkutano huo, huku UvCCM nao wakijipanga kuhakikisha mkutano Na huo unafanyika bila taabu.
Hivyo basi kutokana na sababu alizotoa IGP basi ni wazi vurugu zitatokea mkutano huo ukifanyika.
BAVICHA baada ya kutakiwa na mwenyekiti wao Freeman Mbowe wasiende Dodoma jana tu wamedai hawatokubali kuachia ubinywaji wa demokrasia unaoendelea na kuwa wana plan B ya kuhakikisha wanazuia mkutano huo.Tutajie viashiria unavyoona, usidanhanye umma
Sina hakika kama bavicha wana uwezo huo, wao wanapigana vita ya keyboards tu ambayo ni passive siyo active, July 23 itapita kama ilivyo pita July 12 2015 alipikatwa mtu, ikapita uchaguzi 25 October 2015, ikapita kuhapa 5 November 2015, ikapita 10 November akahutubia bunge, na vyote waliswma havitafanyika lakin wapi,itapita pia hiyo July 23 kawaida tuBAVICHA baada ya kutakiwa na mwenyekiti wao Freeman Mbowe wasiende Dodoma jana tu wamedai hawatokubali kuachia ubinywaji wa demokrasia unaoendelea na kuwa wana plan B ya kuhakikisha wanazuia mkutano huo.
Nyie jisogezeni mkutanoni muone, mtaenda kuzikana walahi
hivi unawajua ccm wewe au unawasikia tu? kaa mbali kwa usalama wako.Kutokana na viashiria vingi vya uvunjifu wa amani vinavyoendelea kujitokeza IGP Mangu hana budi bali kuuzuia mkutano wa CCM uliopangwa kufanyika Dodoma tarehe 23.