GedsellianTz
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 1,348
- 1,803
Tapatalk Cloud - Downlaoad File hahahaaaaaa.mp4
Je, hii ni sawa? Namuona mkalimani kabaki anashangaa tu, raisi wetu anasoma haraka haraka bila nukta daaah
MJADALA HUU UMESOMWA KWENYE KIPINDI CHA JAMII LEO
Je, hii ni sawa? Namuona mkalimani kabaki anashangaa tu, raisi wetu anasoma haraka haraka bila nukta daaah
=====Mkalimani ambaye sikuweza kupata jina lake kwa haraka ameshindwa kwenda na kasi ya Rais Magufuli alipokuwa akihutubia huko Ethiopia
Rais wa Tanzania akihutubia kwa Kiswahili alikuwa akitoa wito kwa viongozi wa Afrika kufuata nyayo za Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.Hotuba hiyo ilitolewa wakati was kuzindua kituo cha Amani kilichopewa jina la Rais wa Kwanza wa Tanzania JK Nyerere
Video inaonyesha Rais akihutubia Kiswahili bila kutolewa kwa tasfiri toka kwa mkalimani aliyeambatana naye stejini.Mkalimani anaonekana kubaki kishikilia kipaza tu na kushindwa kabisa kuendana na spidi ya Mkuu
Tunampongeza Rais kukitangaza Kiswahili
MJADALA HUU UMESOMWA KWENYE KIPINDI CHA JAMII LEO