Mkutano wa ACT - Wazalendo viwanja vya Furahisha Mwanza

Baada ya chama cha kipya cha ACT kufanya mkutano wake ktk viwanja vya furahisha hapa jijini Mwanza jana, wakazi waliohudhuria mkutano huo wamewakuwa na mawazo yanayofanana juu ya na malengo ya chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu wa October 2015. Wamesema lengo la kuanzishwa kwa chama hicho ambacho kinapigiwa sana chapuo na wafuasi wa chama tawala CCM ni kujaribu kupunguza kura za UKAWA hususan CHADEMA jambo ambalo wamesema halitafanikiwa kwani watanzania wameshajenga imani kubwa na isiyoyumba kwa CHADEMA na kwamba yeyote anayejaribu kupunguza nguvu ya CHADEMA na UKAWA anajidanganya na wanamchukulia kama msaliti wa kutaka kukwamisha ukombozi wa pili wa taifa letu.
 
aiseee watu walikuwa vikundi vikundi baada ya mkutano hadi polisi wakataka kupiga mabomu eti watu watawanyike.......kote huko kwenye vikundi watu walikuwa wanamchambua zito na ukibaraka wake kwa ccm...walijua atakuja kuzungumza kitu cha maana akaongea pumba tupu mara lowasa akija tutamkaribisha
 
Vivaaa CHADEMA.... Nawaunga mkono watu wa mwanza maana hata huku Dom chama Tawala wanaiunga mkono ACT , Katika kipindi hiki tunachohitaji ukombozi wa taifa chama kama hichi na cha kukipuuza na kukuogopa kama UKIMWI...
 
Wadanganyebasiokujua wewe na ambao hawakuwepo kwenye mkutano huo,Zitto anawapelekesha sana moja mmeshapagawa!!!!!
 
aiseee watu walikuwa vikundi vikundi baada ya mkutano hadi polisi wakataka kupiga mabomu eti watu watawanyike.......kote huko kwenye vikundi watu walikuwa wanamchambua zito na ukibaraka wake kwa ccm...walijua atakuja kuzungumza kitu cha maana akaongea pumba tupu mara lowasa akija tutamkaribisha

Alikuwa anaongea kwa kibesi, kujisikia na kiburi, yaani kwa kifupi ZZK anajisikia sana, hafaiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
baada ya chama cha kipya cha act kufanya mkutano wake ktk viwanja vya furahisha hapa jijini mwanza jana, wakazi waliohudhuria mkutano huo wamewakuwa na mawazo yanayofanana juu ya na malengo ya chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu wa october 2015. Wamesema lengo la kuanzishwa kwa chama hicho ambacho kinapigiwa sana chapuo na wafuasi wa chama tawala ccm ni kujaribu kupunguza kura za ukawa hususan chadema jambo ambalo wamesema halitafanikiwa kwani watanzania wameshajenga imani kubwa na isiyoyumba kwa chadema na kwamba yeyote anayejaribu kupunguza nguvu ya chadema na ukawa anajidanganya na wanamchukulia kama msaliti wa kutaka kukwamisha ukombozi wa pili wa taifa letu.
umefanya utafiti lini hao waliosema hivyo walitaka kukufurahisha tu uzidi kuanunulia viroba lakini act ni tishio sio kwa cdm hata ccm wenyewe
 
Wadanganyebasiokujua wewe na ambao hawakuwepo kwenye mkutano huo,Zitto anawapelekesha sana moja mmeshapagawa!!!!!

We ulikuwepo kwenye huo mkutano?nadhani unajidanganya wewe mwenyewe!act mnapaswa mtambue kuwa wingi wawatu si kwamba mnakubalika,mtu anaweza kwenda kwenye mkutano wowote ule hata wa kidini ili kusikiliza,labda mtwambie sera zenu ni kuwa wote wanaohudhuria mikutano yenu basi wanakuwa wanachama na wapenzi wenu,ila wao wenyewe wanakuwa na siri mioyoni mwao.subirini mmalize mikutano na chama kinakufa maana mnapomaliza na kuondoka huwa mnaondoka na kila kitu.
 
Wadanganyebasiokujua wewe na ambao hawakuwepo kwenye mkutano huo,Zitto anawapelekesha sana moja mmeshapagawa!!!!![/QUOTE

Nilikuwepo kumsikiliza msaliti wa ukombozi wa pili na nikathibitisha bila chembe ya shaka kuwa huyu ZZK anatumika
 
Washabiki walikuwa pale mbele tu

mimi nilihudhuria huo mkutano washabiki wa act ambao pia ni ccm walikuwa mbele pale wakinyanyaua mikono....wengi wa waliohudhuria walikuwa pembeni ambapo walikuwa wakiangalia kila kilichozumzwa na zito na walimchambua sana hadi mkutano unaisha watu kila anaetoka mwenye akili zake alisema alikua anamchambua msaliti zito na act yake ...kimsingi zito ameibomoa sana ccm mwanza mana ni wana ccm ndio nilikuwa nawaona wapo mbele kabisa wakimshangilia...polisi nao wakaanza kutishia kupiga watu mabomu eti watawanyike mkutano umeisha hapo ndio niliposhaangaaa ...mkutano ulikuwa na polisi wengi balaa.....eti hakuna kujadili tawanyikeni ......kwenye kupiga kura zito atawachanganya sana wana ccm inabidi watoe mwongozo ukifika mda wa kupiga kura apigiwe act au ccm......
 
Zito nitamuona mpizani km atajikita zaidi kuelimisha wananchi elimu ya uraia na wajiandikishe kwenye daftari la kudumu la wapiga kura but sio kuingia kurumbana na vyama vingine vya upinzani mbaya wo ni Ccm ko watuelimishe kuhusu madudu ya Ccm cha kushangaza Ccm ndo wanaratibu mikutano yake bado ananiacha njiapanda je ni mpinzani wa kweli au kaja kupunguza kura? Simuelewi!!!
 
Chadema wamekosa mtu mwenye akili wa kuona mambo ktk 3D waliopo ni makerere tu. juzi Mwanza kiwanja cha furahisha walijikita kumtukana na kumponda Zitto bila kuangalia facts za kujenga na kuwasaidia wananchi juu ya matatizo yao. walifikia mpaka hatua ya kuwambia watu wasihudhurie kwenye mkutano wa zitto lakini kilichotokea jana kwa zitto hadi yeye hakuamini jinsi watu walivyojaa na kushangilia mwanzo mwisho....hadi mamruki wachadema walikuja na walikuwa kimyaaa maana waliogopa kuleta fujo maaana watu walikuwa wengi sana wangewatafuna .
 
  • Thanks
Reactions: R.B
We ulikuwepo kwenye huo mkutano?nadhani unajidanganya wewe mwenyewe!act mnapaswa mtambue kuwa wingi wawatu si kwamba mnakubalika,mtu anaweza kwenda kwenye mkutano wowote ule hata wa kidini ili kusikiliza,labda mtwambie sera zenu ni kuwa wote wanaohudhuria mikutano yenu basi wanakuwa wanachama na wapenzi wenu,ila wao wenyewe wanakuwa na siri mioyoni mwao.subirini mmalize mikutano na chama kinakufa maana mnapomaliza na kuondoka huwa mnaondoka na kila kitu.
Hilo vuvuzela ni ccm dam dam..
 
WACHAGA bana mulimfukuza za sasa munaanzisha bifu au mulitaka asifanye siasa?mlitaka akalime mufurahi!nae MPARE MNYIKA katumwa kanda ya ZIWA, anajuta kumfwata ZITO anadhalilika tu.
Acha ukabila ina maana wachagga hawaruhusiwi kujiunga na ACT unaposema CHADEMA wachagga umeshawajengea wachagga wasio na vyama uhasama not because are CHADEMA but because are chagga and
Have categorized them in a bad way.
 
Baada ya chama cha kipya cha ACT kufanya mkutano wake ktk viwanja vya furahisha hapa jijini Mwanza jana, wakazi waliohudhuria mkutano huo wamewakuwa na mawazo yanayofanana juu ya na malengo ya chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu wa October 2015. Wamesema lengo la kuanzishwa kwa chama hicho ambacho kinapigiwa sana chapuo na wafuasi wa chama tawala CCM ni kujaribu kupunguza kura za UKAWA hususan CHADEMA jambo ambalo wamesema halitafanikiwa kwani watanzania wameshajenga imani kubwa na isiyoyumba kwa CHADEMA na kwamba yeyote anayejaribu kupunguza nguvu ya CHADEMA na UKAWA anajidanganya na wanamchukulia kama msaliti wa kutaka kukwamisha ukombozi wa pili wa taifa letu.
Tulia uchomwe sindano dawa ikuingie vizuri kamanda.
 
Back
Top Bottom