Kwa unavyoandika ni wazi kuwa kama ulienda darasani basi ulienda kupoteza muda tu
Hakuna chama kinaweza kujengwa kwa miezi mitatu, ukategemea kifanye miujiza. Naona mnajifariji
Wewe ni muha wa wapi, kalinzi?? Act ni zito, act ni ya waha, kama si muha hatukutambui act...
sawa tu,lakini haina maana kwamba ndo wakate tamaa na kulala,kama watapata hata wabunge kumi hiyo ni hatua,
mbona mpaka sasa wana viongozi wa mitaa?
step by step,ngazi kwa ngazi
Act=zitto=ccm=shetani.
Hayo umeyasema wewe wanachofanya ACT - Wazalendo ni kuwajenga watanzania uzalendo taratibu hawana haraka sema watanzania ndiyo wameipokea ACT-Wazalendo haraka mno.Hakuna chama kinaweza kujengwa kwa miezi mitatu, ukategemea kifanye miujiza. Naona mnajifariji
Kama wewe hutokei bitare, mwandiga, kigoma ujiji, au nyarubanda basi huna chako act, act ni zitto. Act ni waha tu.. Sasa wewe kama si muha imekula kwako, mjamaa ana hammer wewe hata baiskeli huna... Alishakusihi usimuamini mwanasiasa... Wewe jitoe ufahamu tu .....
Vipi mwaka huu mshasambaza waraka makanisani tena kuelekea uchaguzi mkuu? Tuwapige bao la kisigino kama 2010 na mzee wetu kikwete.
Usaliti wao ni upi? Mbona una meza maneno
Hakuna chama kinaweza kujengwa kwa miezi mitatu, ukategemea kifanye miujiza. Naona mnajifariji
Ayatola ataeleza njama za kumsaliti Mengi kwa Rais?
Una HASIRA mkuu unamaanisha wewe ni #TeamZZK #TeamACTWazalendo #ProudlyTanzanian #ProudlyPanAfrican #UjamaaKidemokrasia #Unyerere .....(Karibu kwenye Chama cha Think Tanks Tusambaze Uzalendo )Mkuu we subilia uchaguzi watajionea wenyewe act sio nguvu ya soda ile tumechoshwa na sera mavi mavi sasa ni uzalendo tu uwe ccm,cuf,nccr,chadema
kumbe umeona eeh?,jamaa jina kubwa lakini vitendo haviendani