Mkutano mkubwa wa UKAWA Moshi Mjini katika Picha.

Mkutano mkubwa wa UKAWA Moshi Mjini katika Picha.

Mkuu wakimaliza kuongea uongo wao wakumbushe kuwa tunataka serikali mbili kama hivi.

naona mnataka kuvunja muungano yaani serikali moja huku na nyingine huku, mwisho wa siku Tanganyika huku na Zanzibar huku
 
Jamaa wana hela hawa, wameajiri watu kuposti upuuzi kwenye mitandao, angalia hii picha ni nini kama siyo fujo, watu wamechoka
 
Uzuri buku kumi kila mtu anayo tayari mfukoni mwake, akitoka hapo hata asiporudishwa anapitia mitaani kusalimia ndg na jamaa ambao hajaonana nao kitambo
 
Wakuu heshima,kwenu.

Ninawaletea picha za mkutano wa UKAWA kama unavyoendelea mjini Moshi leo kwenye viwanja vya Railway.
Kwa hakika mkutano umehudhuriwa na umati mkubwa wa wakazi wa Moshi na wilaya za jirani na mji huu.

Jioneeni picha wenyewe. Huu ni moto wa kuotea mbali.View attachment 158197View attachment 158199View attachment 158200

Ukubwa wa pua sio wingi wa makamasi. Siku zote wanajaa watu lakini kwenye kura hawapigii upinzani. Uthibitisho ni 2015.
 
Back
Top Bottom