Huo mkutano unafanyika kwenye viwanja gani?
Mbona wasemaji wote ni kutoka chadema?
Weka picha basi
viwanja vya barafu mkuu kuanzia saa tisa alasiri
viwanja vya barafu mkuu kuanzia saa tisa alasiri
Huo mkutano unafanyika kwenye viwanja gani?
Mbona wasemaji wote ni kutoka chadema?
...
...ccm yuko mahututi India zigo la Escrow limemvimbia tumboni !!!