Mkutano mkubwa wa CHADEMA kata ya Misozwe Muheza

Mkutano mkubwa wa CHADEMA kata ya Misozwe Muheza

Magembejr

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2014
Posts
618
Reaction score
76
Taarifa kwa makamanda wote kuwa muda huu viongozi wa m4c wilaya ya muheza wakiongozwa na mwenyekiti wa m4c (w) ndugu riziki magembe muda huu tupo jukwaani tunajenga chama kata ya misozwe kijiji cha kwemingoji,nyomi ya kufa mtu,wananchi wanaipenda chadema huku na sio zitto
 
una uhakika kuwa wote waliohudhuria ni CHADEMA???? acha utoto na ujinga. hata M23 hawakuwa wote wapenzi wa genge lile, wengine walienda kupata taarifa kupelekea jeshi la Congo
 
muheza wananchi wameikataa ccm hawataki kusikia ujinga wa eti zitto,wao wanaitaka chadema
 
safi sana makamanda, Zitto alichangia sana kurudisha nyuma maendeleo, hana ishu tena, pigeni kazi.
 
una uhakika kuwa wote waliohudhuria ni CHADEMA???? acha utoto na ujinga. hata M23 hawakuwa wote wapenzi wa genge lile, wengine walienda kupata taarifa kupelekea jeshi la Congo[/QUOTE

Mbona ccm huwasomba watu na magari ina maana yenyewe hakuna wanaokwenda kuchukua information wazipeleke kwingine? Tafakari kabla....
 
kamanda tunakushukuru sana , jana niliweka taarifa kama hii nikinukuu gazeti la nipashe , lakini HAIKUOMBA HATA MAJI ! ILICHINJIWA BAHARI KWA MSUMENO WA MBAO !
 
Weka Picha tu mkuu kwasababu hawa raia hawajui kusoma
 
una uhakika kuwa wote waliohudhuria ni CHADEMA???? acha utoto na ujinga. hata M23 hawakuwa wote wapenzi wa genge lile, wengine walienda kupata taarifa kupelekea jeshi la Congo

WEwe endelea kutoka povu tu, wenzio huo ujinga wako ndio mtaji wao.
 
una uhakika kuwa wote
waliohudhuria ni CHADEMA???? acha utoto na ujinga. hata M23 hawakuwa
wote wapenzi wa genge lile, wengine walienda kupata taarifa kupelekea
jeshi la Congo

Acha kutoa kauli kali, sasa wewe unauhakika kuwa wote waliopo si mashabiki? kwa taalifa yako nikuwa watu ni nyomi na wanaendelea kufulika unaweza tambua kua ni ashabiki kwa hamasa unayoiona nyusoni mwao kama unataka waulizwe utakua na matatizo.
 
Taarifa kwa makamanda wote kuwa muda huu viongozi wa m4c wilaya ya muheza wakiongozwa na mwenyekiti wa m4c (w) ndugu riziki magembe muda huu tupo jukwaani tunajenga chama kata ya misozwe kijiji cha kwemingoji,nyomi ya kufa mtu,wananchi wanaipenda chadema huku na sio zitto


Mgosi we nimuongo, au labda hakuna wasambaa na waha hapo kijijini
 
uliza magamba muheza wanavyo chomwa na moto wa cdm,mpaka dc anahaha kuzuia mikutano ya cdm
 
Jamani hamna hata mtu mmoja hapo mwenye kasmart phone atutupie picha hapa taaratibu tukiwa tunasubiria updates kutoka mahakamani
 
as time went on umati mkubwa unazidi kujaa hapa misozwe wananchi wanaimba kwa uchungu sana nyimbo ya chadema..."chadema mwendo mdundo,komesha mafisadi.." wana jamvi hapa kwemingoji ni jirani na kijiji cha antakae anachotoka mbunge wa ccm hebart mtangi yaani hali mbaya mno,maji hakuna
 
Back
Top Bottom