Nyani haoni Kundule....
Toa Boriti kwenye jicho lako kwanza ndo umwambie jirani yako atoe kibanzi.
Kudadadadeki, Csm - Chama cha Matusi, aka Lusinde.
Chama cha Kidini - Scm
Serikali ya Kidini ya Mzururaji Vasco Da gama
Chama cha Mauaji - Kolimba, Nyerere, Kombe, Mv Islander, na mmemkosa kosa mwingine kwa sumu.[/QUOTE
umeona eeeh! Ulijuaje?
Mwenyekiti wa CDM na katibu mkuu kwa kushirikiana na wabunge wa CDM akiwamo Joshua Nasari kesho watafanya mkutano mkubwa wa hadhara katika viwanja vya barafu mkoani Dodoma.
Mwenyekiti wa CDM na katibu mkuu kwa kushirikiana na wabunge wa CDM akiwamo Joshua Nasari kesho watafanya mkutano mkubwa wa hadhara katika viwanja vya barafu mkoani Dodoma.
unatusaidia nn sisi tuliopo nanjilinji?
Polisi zuia huo mkutano hapo makao makuu ya chama!
Mkuu hapo kwenye red, hiki ni kijiji, mji au ......?
Chama cha kidini chadema
Watu kama Hawa wengi wao ni kula kulala na kujamba kwa fujo!! Huwa hawana faida ktk jumuia:::::dini ya babako
Pamoja na kuunguruma kesho viwanja vya barafu Dodoma Nasari na mbunge mwenzake wa viti maalum wamenikera kwa kutokwenda bungeni kuapishwa. Ina maana tayari wameyashiba madaraka? Hawaoni kama wananchi wao watawaona kama malimbukeni ambao hawana muda wa kuwawakilisha bungeni? Nini kimewaleta Dodoma? Ndio maana baadhi wa wanazuoni wanakiona CDM kama chama cha msimu na kifo chake chaweza kuwa cha aibu kama cha kanumba. Baada ya peoples' power nyingi watu watakichoka kitaonekana ni chama kisichokuwa na jipya bali fujo.