Mkutano mkubwa wa CHADEMA Dodoma

cdm sasa waelekeze nguvu nje ya miji, mjini walau tumekwisha waelewa
 
Nakubaliana na wewe, lakini CDM tumezidi kufanya mikutano mjini, Vijijini tumekusahau ambako magamba ndo huwa wanaenda kutuibia kura

Hapo dodoma mjini tu hakuna hata diwani wa CHADEMA we unawaambia waende vijijini kufanya nini?
 
Hapo dodoma mjini tu hakuna hata diwani wa CHADEMA we unawaambia waende vijijini kufanya nini?

Uwezo kiuchumi wa akina sigwimisi ni mdogo sana ndo maana magamba wakileta khanga na kapelo hawaziachii lakini taratibu wataelewa
 
Tuko pamoja mkubwa, lakini chama kiangalia utaratibu wa kufanya mikutano mikubwa vijijini kwa ajili ya kujitangaza zaidi maana chama hiki kimejitangaza vema bado wananchi wa vijijini wanapotezwa sana na sisiemu kwani wanaambiwa vyama vingine ni vya wahuni.
 
Tuko pamoja kamanda. Nimetoka arumeru kwa kazi hii tu. Lazima pia dom kieleweke.
 
Naomba CDM muende vijijini kama vile Lamaiti,Mundemu,mkondai,Zanka,Msisi,Hombolo,Babayu,chandege,Mayamaya. huko ndiko ccm wanajidai kwani hamjafika wa2 wanawasikia kwenye radio tu,wanatishwa na ccm kuwa wakichagua upinzani wataleta vita,chagueni timu ya kwenda huko.
 
 

Naomba uondoe hilo neno jekundu hapo, maana wabunge wote wa CDM ni mashuhuri. Tusianze kubaguana kama wengine.
Hata neno mheshimiwa pia muwaachie hao waheshimiwa.
zamani sisi sote tulikuwa tunaitana ndugu: ndugu mbunge, ndugu rais, ndugu waziri, ndugu kijana, ndugu, ndugu, ndugu.
Ubwana na utwana umetoka wapi?
 
Mwenyekiti wa CDM na katibu mkuu kwa kushirikiana na wabunge wa CDM akiwamo Joshua Nasari kesho watafanya mkutano mkubwa wa hadhara katika viwanja vya barafu mkoani Dodoma.
 
:A S-fire1:Hiyo sawa kabisa ila tunaendelea kuwaombea Makamanda wetu kwani 2015 ni mwaka wa ukombozi toka mikononi kwa Mafisadi, na pia wendeleze somo vijijini kwani bado hawana elimu ya uraia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…