Chademakwanza
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 6,346
- 1,873
Inatia moyo na Mungu akamilishe ahadi ya kuondoa ufalme was ccm
Asante SanaUkawa ndio habari ya mjini
PONGEZI KWENU makamanda
Posho kwa siku sh . ngapi?
Chadema hatugawani Hela tunagawana Majukumu
Mbona ruzuku inatafunwa sana pale makao makuu Ufipa