Mwanantogakulya
Senior Member
- Mar 18, 2025
- 130
- 118
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira mjini Maswa (MAUWASA), Mhandisi Nandi Mathias James, amechukua rasmi fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwania ubunge wa Jimbo la Buchosa, wilayani Sengerema, mkoa wa Mwanza.