Mkurugenzi wa Manispaa Iringa Angalia sana Afisa Elimu huyu

SAIZI YANGU

JF-Expert Member
Nov 8, 2013
381
83
Manispaa ya Iringa imekuwa inaongoza kieleimu kwa kipindi kirefu sasa. Hatua hiyo imechangiwa kwa kiasi kikubwa na kujitolea na ufanyaji kazi wa kujituma wa Walimu kwa ngazi mbalimbali. Lakini hivi karibuni amehamishiwa Afisa Elimu mmoja aitwae Haji Mnasi ambaye kiukweli amekuwa mbabe, dikteta na hasikii ushauri.

Amekuwa akifanya kazi kwa majungu na hivyo kumfanya awe si kipenzi kwa walimu. Hali hii inatuvunja sana nguvu sisi walimu wa Manispaa hii. Kwa mtindo huu nahisi elimu inaweza kuporormoka kwani walimu wataacha tena kujituma. Naomba Mkurugenzi wa Manispaa muangalie sana Afisa Elimu huyu.
 
Manispaa ya Iringa imekuwa inaongoza kieleimu kwa kipindi kirefu sasa. Hatua hiyo imechangiwa kwa kiasi kikubwa na kujitolea na ufanyaji kazi wa kujituma wa Walimu kwa ngazi mbalimbali. Lakini hivi karibuni amehamishiwa Afisa Elimu mmoja aitwae Haji Mnasi ambaye kiukweli amekuwa mbabe, dikteta na hasikii ushauri. Amekuwa akifanya kazi kwa majungu na hivyo kumfanya awe si kipenzi kwa walimu. Hali hii inatuvunja sana nguvu sisi walimu wa Manispaa hii. Kwa mtindo huu nahisi elimu inaweza kuporormoka kwani walimu wataacha tena kujituma. Naomba Mkurugenzi wa Manispaa muangalie sana Afisa Elimu huyu.
Hilo halipo kwenu hata kwetu kilolo tuna afisa taaruma anatoa majibu kwa walimu utadhania ni watoto wake tunaomba serikari watumishi kama hawa washuhwe vyeo afisa taaluma elimu ya msingi kilolo tunaomba abadilishe kauli kwa walimu
 
Mkuu SAIXI YANGU wewe kweli ni jipu. Kama wewe ni mwalimu basi hufai maana unashindwa hata kuandika maneno kama Taaluma (badala yake unaandika Taaruma). Huwezi kuandika neno Serikali (badala yake unaandika serikari). Kuwa serious ndugu. Kwa taarifa yako, hayo mjibu anayowapa Afisa Taaluma huyo ndo majibu sahihi kwa serikali hii ya JPM. Kama unataka majibu ya kubembelezwa utayapata kwa mkeo sio ofisini
 
Hilo halipo kwenu hata kwetu kilolo tuna afisa taaruma anatoa majibu kwa walimu utadhania ni watoto wake tunaomba serikari watumishi kama hawa washuhwe vyeo afisa taaluma elimu ya msingi kilolo tunaomba abadilishe kauli kwa walimu

Mkuu SAIZI YANGU wewe kweli ni jipu. Kama wewe ni mwalimu basi hufai maana unashindwa hata kuandika maneno kama Taaluma (badala yake unaandika Taaruma). Huwezi kuandika neno Serikali (badala yake unaandika serikari). Kuwa serious ndugu. Kwa taarifa yako, hayo mjibu anayowapa Afisa Taaluma huyo ndo majibu sahihi kwa serikali hii ya JPM. Kama unataka majibu ya kubembelezwa utayapata kwa mkeo sio ofisini[/QUOTE]
 
Matokeo ya haya ninayoyasema mtayaona kwenye kiwango cha elimu. Miaka yote tumekuwa tunafanya vyema katika eleimu bila kuwa na udikteta huu. sasa kinachofanyika nahisi ni hujuma kwa elimu. Mkurugenzi nakushauri tena angalia swala hili.
 
haya ndugu mwalimu,kilio chako nmekisikia!Mimi na jopo langu tutamshughulikia D.E.O
 
Manispaa ya Iringa imekuwa inaongoza kieleimu kwa kipindi kirefu sasa. Hatua hiyo imechangiwa kwa kiasi kikubwa na kujitolea na ufanyaji kazi wa kujituma wa Walimu kwa ngazi mbalimbali. Lakini hivi karibuni amehamishiwa Afisa Elimu mmoja aitwae Haji Mnasi ambaye kiukweli amekuwa mbabe, dikteta na hasikii ushauri.

Amekuwa akifanya kazi kwa majungu na hivyo kumfanya awe si kipenzi kwa walimu. Hali hii inatuvunja sana nguvu sisi walimu wa Manispaa hii. Kwa mtindo huu nahisi elimu inaweza kuporormoka kwani walimu wataacha tena kujituma. Naomba Mkurugenzi wa Manispaa muangalie sana Afisa Elimu huyu.
Aya nmekuckia ntalifkish kwe mamlaka ya uteuz, nakuaid ndan ya wiki atalifanyia Kaz mkuu
 
Manispaa ya Iringa imekuwa inaongoza kieleimu kwa kipindi kirefu sasa. Hatua hiyo imechangiwa kwa kiasi kikubwa na kujitolea na ufanyaji kazi wa kujituma wa Walimu kwa ngazi mbalimbali. Lakini hivi karibuni amehamishiwa Afisa Elimu mmoja aitwae Haji Mnasi ambaye kiukweli amekuwa mbabe, dikteta na hasikii ushauri.

Amekuwa akifanya kazi kwa majungu na hivyo kumfanya awe si kipenzi kwa walimu. Hali hii inatuvunja sana nguvu sisi walimu wa Manispaa hii. Kwa mtindo huu nahisi elimu inaweza kuporormoka kwani walimu wataacha tena kujituma. Naomba Mkurugenzi wa Manispaa muangalie sana Afisa Elimu huyu.
Aloo kweli bwna SKU hzi hatuskiki kabisa yan
 
Back
Top Bottom