MKURUGENZI WA ELIMU TAMISEMI

Orketeemi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,604
Reaction score
14,402
Wakuu habari.

Nipo Dodoma natakiwa kufika ofisini kwa mkurugenzi wa elimu TAMISEMI.

mimi ni mgeni jijini hapa hivyo naomba kwa mwenye kujua anipe maelekezo ya zilipo ofis husika.
 
Yaulize maccm yako mengi hapo ukiliona limevaa kapelo la kijani livamie
 
zile picha zinasambaa za za Ofisi zao Dodoma...
 
Fika mtaa wa CDA jirani na makutano ya Singida nà Iringà road kishà uliza Sokoine house kuna ofisi hapo za tamisemi ndipo anapopatikàna
 
Ofisi zipo hapo hapo keep left ya Jamatini, km unaenda General Hospital kabla hata hujavuka CRDB utawakuta wafanyakazi na madereva kibao hapo nje.
Kama wewe ni Mwl acha uoga tafuta mnashindwa hata na wamachinga wasiosoma?
ukizubaa utapelekwa Mtumba kweny mitunduru walikofyeka jana ukutana na mabati!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…