Hata akina father Kitima wa TEC tunakutana nao sana Tips na Wavuvi😂Mpiganaj mmoja wa ISIS amewahi kusema nanukuu "wanasema tusivute sigara ila wao wanavuta...wanasema tusiwe na madem ila nilishuhudia mashee kibao wakiwa na malaya huko huko ARABUNI....
Pigen cheers sasa ndg mjumbe ... there is no time for tommHata akina father Kitima wa TEC tunakutana nao sana Tips na Wavuvi😂
Hapa kuna uongo 95% na ukweli 5%. Mengi ni conspiracy theoriesBwana Soltan Slyeyyim alikimbia Dubai juzi baada ya kubainika kushiriki katika ngono za watoto chini ya umri, na
ibada za Kishetani za kunywa damu ya watoto hao, zilizokuwa zikifanyika katika kisiwa cha mhalifu Jeffery Epstein mwenye uraia wa Marekani na Israeli.
Hayo yalikuja katika kashfa zinazoendelea kufichuliwa na nyaraka zilizokutwa katika chumba cha Epstein, ambaye anashukiwa kuwa jasusi wa Mossad.
Jeffery Espstain, kwa zaidi ya miaka ishirini amekuwa akifanya kazi na Mossad ya kuwarubuni watoto wadogo na kuwapeleka kisiwani kwake, ambako aliwaandalia wakuu mbali mbali wa nchi na matajiri wakubwa, kama akina Bill Gate, Bill Clinton, na majina bado yanafichuliwa...pia kushiriki katika ibada ya shetani Baal, ambayo miongoni mwa matendo ni kunywa damu ya watoto. Hii wanadai ni ili kuwapa nguvu za kifedha na ushawishi mkubwa duniani.
Bw, Sleyyim ameiongoza DP World kwa zaidi ya miaka thelathini na inasemekana ndiye aliyeifanya kuwa mamlaka maarufu ya bandari duniani ambapo inamiliki au kuendesha asilimia 10 ya bandari zote duniani. Katika email yake akimwandikia Epstain, alielezea kufurahishwa kwake kwa kuhudhuria video ya kuadhibiwa kwa watoto alipoalikwa kisiwani huko!
Majina makubwa duniani yakiwemo ya wanasiasa, wakuu wa makampuni na wanasiasa duniani, akiwemo balozi wa Uingereza Marekani, Mwana Mfalme wa Uingereza na wengine, wamewajibika kujiuzulu nyadhifa zao baada ya majina yao kufichuliwa kwenye orodha ya Epstain.
Naye Epstain alifanyiwa mizengwe na Mossad na kuonekana kana kwamba amejinyonga katika jela ya Marekani akisubiri hukumu, ila hivi majuzi watu kadhaa wamesema wamemwona akidunda mjini Tel Aviv.
Kiuchumi, makampuni kadhaa Ulaya yamejitoa katika kuisapoti DP World kutokana na kashfa hiyo, ukiwemo mfuko wa dhamana wa Norway, unaoongoza duniani kuwa mfuko mkuu wa dhamana duniani kwa fedha.
Kote moto unawaka, sasa tutakuwa wageni wa nani?Bwana Soltan Slyeyyim alikimbia Dubai juzi baada ya kubainika kushiriki katika ngono za watoto chini ya umri, na

Very Truez whether ni miungu ya kweli au la, ama imani ya kweli au potofu ni ukweli kwamba wanaongozwa na imani fulaniDunia hii! Imejaa uovu wa kila aina. Kwa hayo waliyokwa wakifanya, ni dhahiri kuna miungu yao waliyokuwa wakiiabudu, na ndiyo ilikuwa ikiwaongoza kufanya huo ushetani.
Tumechagua kuwa wenyeji hatutaki kuwa wageniKote moto unawaka, sasa tutakuwa wageni wa nani?
Very Truez whether ni miungu ya kweli au la, ama imani ya kweli au potofu ni ukweli kwamba wanaongozwDunia hii! Imejaa uovu wa kila aina. Kwa hayo waliyokwa wakifanya, ni dhahiri kuna miungu yao waliyokuwa wakiiabudu, na ndiyo ilikuwa ikiwaongoza kufanya huo ushetani.
na kwa wajomba kuna waka motoTumechagua kuwa wenyeji hatutaki kuwa wageni
Upi ni uongo? Socrates anasema : Mwenye maarifa, huandika kwa vile kuna kitu muhimu cha kuandika. Ama mjinga huandika kwa vile kwake ni muhimu tu kuandika.Hapa kuna uongo 95% na ukweli 5%. Mengi ni conspiracy theories
Ni kweli kwa sababu ssala hazijawahi kuwa na impact yoyoteKadri miaka inavyozidi kwenda tunaosali tunaonekana hatuna maana au tumepitwa na wakati.
Kwa bahati nzuri, yote haya yako mtandaoni na kwa ushuhuda wa waliyoyaona au kuwa katika makundi hayo. Watoto huuawa hasa na damu yao ikanywewa. Hawa watu wana nguvu kubwa hata serikali haziwawezi. Mfano, Gaza watoto 25,000 wameuawa ambalo ni war crime, nani ameshikwa? Utaona Samia wetu huenda akapelekwa huko, lakini hao...... ndiyo maana sina imani hata na UN!Unaposema walikuwa wakinywa damu za watoto, unamaanisha walikuwa wakiwaua watoto na kunywa damu zao, au walikuwa wanawatoa damu kwa sindano, na kuwaacha watoto wakiwa hai?