Tunamwomba abadilishe mfumo uliopo, wafanyakazi wa BRELA wanatujibu wateja wao kama tunagombana, wana lugha chafu, wanapenda kuabudiwa kama miungu, ukuomba kupewa maelekezo mtu anakuangalia kama umejipaka kinyesi halafu hakujibu, hasa wale wa pale mapokezi