Akiongea na waandishi wa habari mkurugenzi huyo amedai wafanyabiashara wanatumika tu kuna watu wapo nyuma ya hayo maandamano na vurugu! Wakati huo huo Kandoro amewapiga mkwara wanaoleta vurugu kuwa watakutana na mkono wa sheria.Watu zaidi ya 200 wamekamatwa huku watu 12 wakiwa wamejeruhiwa watano wakiwa wamejeruhiwa kwa risasi,Polisi wawili wamejeruhiwa pia!

naona unaingiza sikuPolisi waendelee kutoa kipigo kikali na kuwakamata wale wote wanaofanya vurugu.nchi hii hatuwezi kuona inavurugwa na wanasiasa kwa uroho wao wa madaraka.Rais ni KIKWETE CDM wanapaswa kufaham hilo waache kuratibu vurugu hapa nchini za kumuondoa J.K madarakani.
Endelea kujifurahisha basi mshauri akamate mafisadi na atekeleze azima yake ya maisha bora kwa kila MTZPolisi waendelee kutoa kipigo kikali na kuwakamata wale wote wanaofanya vurugu.nchi hii hatuwezi kuona inavurugwa na wanasiasa kwa uroho wao wa madaraka.Rais ni KIKWETE CDM wanapaswa kufaham hilo waache kuratibu vurugu hapa nchini za kumuondoa J.K madarakani.
Polisi waendelee kutoa kipigo kikali na kuwakamata wale wote wanaofanya vurugu.nchi hii hatuwezi kuona inavurugwa na wanasiasa kwa uroho wao wa madaraka.Rais ni KIKWETE CDM wanapaswa kufaham hilo waache kuratibu vurugu hapa nchini za kumuondoa J.K madarakani.

Kwani hao wafanyabiashara si watu?Akiongea na waandishi wa habari mkurugenzi huyo amedai wafanyabiashara wanatumika tu kuna watu wapo nyuma ya hayo maandamano na vurugu! Wakati huo huo Kandoro amewapiga mkwara wanaoleta vurugu kuwa watakutana na mkono wa sheria.Watu zaidi ya 200 wamekamatwa huku watu 12 wakiwa wamejeruhiwa watano wakiwa wamejeruhiwa kwa risasi,Polisi wawili wamejeruhiwa pia!
Nakubaliana na wewe Kinyungu,yeye ndiye anayetumika kwasababu hajachaguliwa na wananchi,aliyechaguliwa ndo anamtumia dihidi ya wananchi.Kwa sababu yeye Mkurugenzi katumika hadi kachakaa anadhani na wenzake wanatumika.....magamba bana