Mkurugenzi Manispaa ya Ilala atumbuliwe!

BOB LUSE

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
3,813
Reaction score
3,430
Kuna MKandarasi kapewa kujenga/kurekebisha Barabara eneo la KITUNDA kuelekea MWANAGATI.Ametelekeza Mradi kumwaga vifusi Barabarani bila kukisambaza wala kumalizia kazi yake.

Hali hii imeleta usumbufu na kupanda
Kwa gharama za maisha kwa wananchi na uharibifu wa vyombo vya usafiri na kuhatarisha uhai wa wananchi kuweza kufikia huduma za afya.

Naamini wahusika wapo humu au watafikoshiwa ujumbe wetu. Tunaomba Mkurugenzi huyu awajibishwe kama wale wa Bukoba wenye makosa madogo ya takwimu kuliko huyu asiyefuatilia maeneo yake na kusaidia kutatua matatizo yetu.

Baba MAKONDA naomba ufikishe kero hii IKULU kama utashindwa pia.
Tanzania ya VIWANDA.
 
Miezi miwili vifusi vimezuia barabara mkandarasi kapewa kandarasi nyingine Ilala hii hii ameshindwa kazi. Mvua zimeanza haonekani!
 
Miezi miwili vifusi vimezuia barabara mkandarasi kapewa kandarasi nyingine Ilala hii hii ameshindwa kazi. Mvua zimeanza haonekani!
Wewe ni kilaza kweli kweli unajua kweli kazi za baraza la madiwani ,
 
Wewe ni kilaza kweli kweli unajua kweli kazi za baraza la madiwani ,
Wewe ni mbugira majukumu ya barabara yako Tamisemi sio Halmashauri kama zamani.Diwani is powerless on this.backoff imbicile
 
Miezi miwili vifusi vimezuia barabara mkandarasi kapewa kandarasi nyingine Ilala hii hii ameshindwa kazi. Mvua zimeanza haonekani!
Wewe unaweza kufanya matengenezo na mvua ikiendelea? Nenda kasomee uhandisi mkuu
 
Wewe ni mbuguma majukumu ya barabara yako Tamisemi sio Halmashauri kama zamani.Diwani is powerless on this.backoff imbicile
Sasa kama ni majukumu ya tamisemi why hizo allegations usizielekeze huko , kichwa chako kimejaa damu mbichi ... Sijaona sehemu mkurugenzi amekosea otherwise ziwe no hasira zako za kumegewa Mke wako
 
Sasa kama ni majukumu ya tamisemi why hizo allegations usizielekeze huko , kichwa chako kimejaa damu mbichi ... Sijaona sehemu mkurugenzi amekosea otherwise ziwe no hasira zako za kumegewa Mke wako
Wewe mpuuzi hiyo ofisi inaitwa ofisi ya dharura ipo manispaa na anayewajibika moja kwa moja ni Mhandisi ambaye yupo chini ya Mkurugenzi. Mkurugenzi ni C. E. O wa manispaa. Yule wa kagera alitumbuliwa kwani alikuwa mtunza hazina wa Mkoa?!!
Kama hujui jambo kaa kimya nayo ni hekima
 
Picha za kifusi ziko wapi
 
Wewe ni mbuguma majukumu ya barabara yako Tamisemi sio Halmashauri kama zamani.Diwani is powerless on this.backoff imbicile
endeleeni kunyukana mpaka matusi ya kikolomije, itatusaidia kuelewa nani ni nani kwenye ujenzi wa barabara : ila watu wa dar es salaam mnafahamika kwa kulalama juu ya kila kitu, kikikamilika mnasifia mpaka mnajisahau. cf : barabara za DART, Sam nujoma, mombasa - moshi bar et cetera
 
Watu wa Dar tunajua haki zetu ndio maana tunatumia njia tofauti kuzidai.nyie wa mbwinde endeleeni na kusifu na kuabudu.
 
Watu wa Dar tunajua haki zetu ndio maana tunatumia njia tofauti kuzidai.nyie wa mbwinde endeleeni na kusifu na kuabudu.
Basi nyie mtakuwa nguruwe maji maana ndo Wapenda tope, mvua ikinyesha mwataka msambaziwe tope ili mu "wallow",mnashindwa kuona na kujifunza kuwa mvua nyingi ikinyesha ujenzi wa barabara husimama kwa kuwa vifusi haviwezi kushindiliwa!!
 
Hao jamaa Wamechukua hela ya kazi ..mkandarasi hana.kosa hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…