hiyo JWT ni nini?Hata mie sikuelewa kuhusu yule kibabu na JWT.
Hata mie sikuelewa kuhusu yule kibabu na JWT.
JWT ni kampuni ya Kenya ambayo ni wakala wa Matangazo ( advertising Agency) wanaosimamia matangazo yote ya Vodacom. JWT ni kifupi cha majina matatu ya wamiliki wa kampuni hiyo. Majina hayo siyakumbuki lakini hao ndio walionunua kampuni ya Scanad ambayo pia ilikuwa ni wakala wa matangazo wa Vodacom. Ofisi za JWT ziko mlimani city kwenye block la Executive mahala palipo na Ofisi za idara ya Makerting, corporate na Vodacom makao makuu.
Ndugu yangu JWT ni tofauti na JWTZ,JWTZ ni jeshi la wanachi.
Na pia jeshini hawatumii vyeo vya MKURUGENZI
JWT ni kampuni ya Kenya ambayo ni wakala wa Matangazo ( advertising Agency) wanaosimamia matangazo yote ya Vodacom. JWT ni kifupi cha majina matatu ya wamiliki wa kampuni hiyo. Majina hayo siyakumbuki lakini hao ndio walionunua kampuni ya Scanad ambayo pia ilikuwa ni wakala wa matangazo wa Vodacom. Ofisi za JWT ziko mlimani city kwenye block la Executive mahala palipo na Ofisi za idara ya Makerting, corporate na Vodacom makao makuu.
jamani tuwe makini tunaposoma vitu JWTZ ni tofauti na JWT kama ilivyo tofauti kati ya hizi no 800 na 8001
kweli,maana kuuliza sio ujinga,ni kutaka kujua! huwezi kuwa unajua kila kitu ktk hii dunia!Aulizae anataka kufahamu. Nadhani sasa ameelewa!