Lancashire JF-Expert Member Sep 20, 2014 14,057 10,365 Jan 28, 2017 #2 Fanyeni kazi za maendeleo mtaonekana kujitangaza kwenye magazeti ili muonekane mtaishia kutumbuliwa.
zimwimtu JF-Expert Member Mar 7, 2012 1,988 1,095 Jan 28, 2017 #3 mkurugenzi gani huyo, waliomteua wao au katokea wapi??
H Hassann msimbe Member Jan 15, 2017 50 64 Jan 28, 2017 #4 Kijana jiongeze huyu ni mteule wa na kada wa ccm ulitegemea amkosoe?
lukindo JF-Expert Member Mar 20, 2010 8,466 9,036 Jan 28, 2017 #5 Katibu aliandika barua ya kujiuzuru mara akaendelea na nafasi yake, ni dc tu aliyetangaza kujiuzuru na akafanya hivyo!
Katibu aliandika barua ya kujiuzuru mara akaendelea na nafasi yake, ni dc tu aliyetangaza kujiuzuru na akafanya hivyo!
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Nov 25, 2010 62,197 128,128 Jan 28, 2017 #6 DED, DAS nk wote hao ni makada wa CCM ambao wako mfukoni kwa rais.
pocha2 JF-Expert Member Sep 23, 2014 890 396 Jan 28, 2017 #7 Duu naye huyu anatuchosha na post zake za kipuuzi.