Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 46,955
- 122,251
Ni jambo la kawaida pale tunapoambiwa ukweli.Mbona jambo la kawaida sana hili.
Tuliambiwa hizi Ndege ni Mpya, iweje ziharibike mapema kiasi hichi?
Ni jambo la kawaida pale tunapoambiwa ukweli.Mbona jambo la kawaida sana hili.
Hoja yako ni nini?Sifa za kijinga hizi! Napenda nchi yangu iwe na maendeleo ila sio kwa sifa za kijinga kama hizi kama unazoonesha. Uzalendo suo kusifia kila kitu mkuu, tujifunze kuwa na uchungu wa matumizi ya kodi zetu.
I agree with youNdege ni chombo kinachohitaji uangalizi wa hali ya juu.
Ndege kuwa mpya haimaniishi kuwa hitilafu haziwezi kutokea!
Hitilafu zipi hizo mkuu?Ndege ni chombo kinachohitaji uangalizi wa hali ya juu.
Ndege kuwa mpya haimaniishi kuwa hitilafu haziwezi kutokea!
Sawa mkuu, nakubali yaishe!Hoja yako ni nini?
Nani amekuambia huipendi nchi yako?
Naona unaongelea uzalendo hapa kama vile tuko hapa kupambana kuwa nani ni mzalendo zaidi.
Nadhani tatizo lako ni inferiority complex.
Nakubali Mkuu yameisha!Sawa mkuu, nakubali yaishe!
Kwani hii ndege yetu shida yake ni nini ili ka huko wamechakachua warudishiwe mapema kabisaComrade
Ndege ikiwa mpya kutoka kiwandani
Huwa inafanyiwa service baada ya muda mrefu kupaa hewani na sio kuwa grounded kabisa kwa sababu ya obovu wa kifaa
Hii imekuwa grounded baada ya kuharibika kwa Mfumo wake ktk moja ya kifaa chake...
Tanzania ni zaidi ujuavyo
Rais ajaye wa awam ya 6 akifukua makaburi kuna watu itabidi WANYONGWE HADHARANI
Basi hata ITV watakuwa wambeya.Salary Slip kwa umbea, hata Mange hakukuti ,hatari sana
kujenga hoja gani???Maandiko yako yanadhihirisha huna uwezo wa kujenga hoja zenye kufikirisha kwa watu wenye upeo mpana.
Tafuta wale wenye uwezo wako katika kujenga hoja.
Samahani kama nimekukwaza lakini nimejaribu kukupa ushauri ili uelewe kuwa bado ujinga na utoto ni mwingi katika akili zako.
Hili nalo neno aiseeHili dege kulipigisha jaramba za Dar, KIA na Mwanza lazima lihitaji matengenezo ya mara kwa mara.
Yaani oil hata haijazunguka kwenye maeneo yote tayari inatua wakati ndio kwaaaanza dude lilikua linajiandaa kufungua injini....
Acha kukariri kama kasuku!Bora unyamaze. Service inapangwa kwa muda maalum (planned). Service wakati imevuruga ratiba za wasafiri waliokua wanaisubiria KIA?
Point ya msingi ndege ni mbovu na inatengenezwa kwaio hata zingekua 100 bado tu tungejua kama imeharibika na inafanyiwa matengenezo mbona bombadia ilivyo haribikaga mwezi na siku zake tulijua na bombadia zilikua 2 kama sio 3 enhKikubwa zaidi, Tanzania tuna ndege ya aina hii moja na kwa sababu hiyo ni rahisi sana kugundua kama haifanyi kazi lakini kwenye mashirika yenye ndege nyingi za aina moja huwezi kugundua kama kuna ndege inafanyiwa matengenezo.
Hata Rais wa Marekani ana ndege mbili za aina moja za Air Force One ili hata kama moja inafanyiwa marekebisho, nyingine inakuwa tayari kwa kazi. Hata Helikopta za Rais ziko mbili zinazofanana.Huwezi kujua kama ndege au helikopta imeharikiba na inafanyiwa matengenezo au la.
Umesema kweli kabisa. Ndege zetu moja tu ikipata hitalafu ni rahisi kujulikana (ingizingatiwa pia kuwa ''wabaya'' wengi wamekaa standby kusambaza habari kadiri iwezekanavyo). Ila kwenye shirila lolote la ndege, ndege kuwa grounded kwa sababu ya hitilafu/service ni kitu cha kawaida kabisa. Shirika kama Ethiopian hata zikisimama ndege 5 si rahisi kujua. Jambo la maana ni kukubaliana tu kuwa service na matengenezo kwenye ndege ni jambo linaloanza tangu inapotoka kiwandani!Kikubwa zaidi, Tanzania tuna ndege ya aina hii moja na kwa sababu hiyo ni rahisi sana kugundua kama haifanyi kazi lakini kwenye mashirika yenye ndege nyingi za aina moja huwezi kugundua kama kuna ndege inafanyiwa matengenezo.
Hata Rais wa Marekani ana ndege mbili za aina moja za Air Force One ili hata kama moja inafanyiwa marekebisho, nyingine inakuwa tayari kwa kazi. Hata Helikopta za Rais ziko mbili zinazofanana.Huwezi kujua kama ndege au helikopta imeharikiba na inafanyiwa matengenezo au la.
Hata hii kutangaza kuharibika kwake kunakimbiza wateja aiseeNadhani hapa tujifunze na kujiuliza je ingekua inapiga route za mbali hapo tungerudisha nauli za watu pamoja na usumbufu. Kwa kufanya hivyo kwa ushindani wa sasa Kimataifa tayari tunakosa customers. Wahusika jifunzeni na ifanyieni kazi hii changamoto
Tanzania hatuna ndege moja zipo tatu ambazo ni commercial, na zingine za viongziKikubwa zaidi, Tanzania tuna ndege ya aina hii moja na kwa sababu hiyo ni rahisi sana kugundua kama haifanyi kazi lakini kwenye mashirika yenye ndege nyingi za aina moja huwezi kugundua kama kuna ndege inafanyiwa matengenezo.
Hata Rais wa Marekani ana ndege mbili za aina moja za Air Force One ili hata kama moja inafanyiwa marekebisho, nyingine inakuwa tayari kwa kazi. Hata Helikopta za Rais ziko mbili zinazofanana.Huwezi kujua kama ndege au helikopta imeharikiba na inafanyiwa matengenezo au la.
Acha kukariri kama kasuku!
Yes, ndege ni mbovu na inafanyiwa matengenezo. Kuna jingine?Point ya msingi ndege ni mbovu na inatengenezwa kwaio hata zingekua 100 bado tu tungejua kama imeharibika na inafanyiwa matengenezo mbona bombadia ilivyo haribikaga mwezi na siku zake tulijua na bombadia zilikua 2 kama sio 3 enh
ndege inafanyiwa service baada ya muda gani?