Mkurugenzi aigomea bodi ya CCM kujiuzulu

Mkurugenzi aigomea bodi ya CCM kujiuzulu

Hiyo radio uhuru haijazorota kwasababu ya udhaifu wa mkurugenzi bali udhaifu wa CCM!
 
Wizi, ubadhirifu, ufisadi, ubinafsi hivyo ni baadhi tu ya vigezo na sifa za kupewa nafasi ya uongozi ndani ya ccm. Huyo mikidadi naona anakidhi vigezo vyote kwa hiyo kumwondoa ama kumwambia ajiuzulu itakuwa uonevu mkubwa na atakuwa hajatendewa haki
 
Duuu hawa jamaa kweli wanajua kuiba;wanaiba hata vyao wenyewe????hiyo radio mbona sjawahi iskia japo npo Dar hapahapa au ndo zile za mipasho!
 
sio radio imepoteza wasikilizaji,hata ccm wanachama wanapungua kila siku.
 
Sebastian maganga wasaidie waajiri wako wa zamani, naikumbuka deiwaka.
radio uhuru was so hot
 
Ni hatari sana kuendelea kusikiliza propaganda hizo.Kwanini ajiuzuru?Sifa zilianishwa kwenye makala haya ndio sifa kuu za kuajiriwa CCM sehemu yoyote ile si radio tu, hata ukuu wa wilaya,ukuu wa mkoa na hata uwaziri mkuu.
 
Huyu mzee kila siku yuko Hiltek banana pale na vimwana anaenda saa ngapi kazini?? Mlafi sana kwa dogodogo kudadadeki...
 
Usijiuzilu ng'o, CCM yote ndiyo tuko hivyo labda wakupe ukuu wa Mkoa siyo Wilaya ndiyo utajiuzulu, usitoke na hawakufanyi kitu.
 
images.jpeg

nani2bc.jpg


index.jpeg
​
 
Back
Top Bottom