zyola
Member
- Jun 22, 2013
- 16
- 2
Toka jikoni, TEO wa halmashauri ya mji wa Tunduma AIDANI MWANSHIGA akubali kuweka rehani kazi yake baada ya mhasibu wake ARTHUR KAFANABO kuchukua rushwa toka kampuni ya VIDOBA ya mkazi wa dsm kiasi cha sh. milioni kumi kama deposit ya kumpa zabuni ya ushuru wa usafi wa mazingira kwa magari yanayo ingia na kutoka nchini ktk boda ya TUNDUMA baada ya kukabidhiwa zabuni ataongezwa miloni kumi tena na jumla yake kuwa milioni 20,000,000.
ofisi ya mji wa Tunduma hapakaliki baada ya mzabuni wa kwanza na wapya walio timiza vigezo kutishia kuwaburuza mahakamani na kupinga uteuzi wa mzabuni huyo huku wakazi wa Tunduma wakitega masikio kila kona ya mji juu ya kitakacho jiri kwa nguli hao wazoefu wa rushwa miaka yote katika kuteua wazabuni mbalimbali.
nitaendelea kuwajuza kinacho jili
nawasilisha