Mkulu wa kaya anaunguruma

Mkulu wa kaya anaunguruma

Kikwete Rais wangu umeniangusha kweli kweli

Mafisadi unawaacha hivi hivi wanadunda kama ulivyofanya wauza dawa za kulevya??

Mbona sheria za nchi yangu haziniambiii watanyimwa kugombea Urais na kusemwa majukwaani??
 
Yaani Kikwete safi sana Lowassa Mzee wa Richmond Phantom Co. Huna pakujibu siku zimeisha ndo utajua wewe ni mdogo sana ktk Nchi hii
 
Tungemuelewa kama wangempeleka mahakamani kama akina mramba na yona bila kufanya hivyo ni umbea na uzushi wa kisiasa au siasa za maji taka mbona wakati lowassa amejiuzuru akuyasema hayo alisema ni ajari za kisiasa je tuamini lipi kata ya hayo mawili??
 
Kikwete Rais wangu umeniangusha kweli kweli

Mafisadi unawaacha hivi hivi wanadunda kama ulivyofanya wauza dawa za kulevya??

Mbona sheria za nchi yangu haziniambiii watanyimwa kugombea Urais na kusemwa majukwaani??
Jiulize chukua hatua. Ni ubabaishaji wa kiwango cha juu. Escorw ni nani? EPA je?
 
Dah siasa ni kiboko...a last minute card....
 
ImageUploadedByJamiiForums1445697141.694642.jpg
 
Majuzi kwenye analysis za US presidential politics nilisikia hili neno " a sucker punch"
 
Kikwete Rais wangu umeniangusha kweli kweli

Mafisadi unawaacha hivi hivi wanadunda kama ulivyofanya wauza dawa za kulevya??

Mbona sheria za nchi yangu haziniambiii watanyimwa kugombea Urais na kusemwa majukwaani??

Inahuzunisha sana cathode ,Sheria zilizomuweka jela Babu seya zimeshindwa kumweka jela Fisadi?..Sitaki kuamini kama Rais ndo analalamikia jukwaani?Acha awe rais chochote kitakachotokea kitokee..Ntampa kura Lowassa kwa maamuzi magumu ya kukataa chama chenye nguvu,kumkataa rafiki wa muda mrefu JK,Pengine siku moja atafanya maamuzi magumu ya kumpeleka FISADI yeyote mahakamani.
 
Last edited by a moderator:
Yaani Kikwete safi sana Lowassa Mzee wa Richmond Phantom Co. Huna pakujibu siku zimeisha ndo utajua wewe ni mdogo sana ktk Nchi hii

Tumia akili yako ipasavyo acha mihemko, mkuu wa nchi unamsema muhalifu jukwaani ulishindwa nini kumswaga ndani? Huoni unajidhalilisha?

Kwa akili hizi mtatawaliwa hadi mwisho.
 
Punch ya K.O hiyo, kweli Kikwete anaijua siasa, alikaa kimya sikuzote kumbe alikuwa na target zake

screpa;
Kweli mnahitaji msaada sana Kama chama chenyewe hakikuwapa sera wafanyeje?? Walishajieleza kwa wapiga kura, wakajiona hawawavutii sasa si watoke angalao wametukana kidogo huo mwiba wao?? Naunga mkono hoja.
Kesho kutwa waseme,; Kushinda ;limetushinda lakini mitusi tulilitukana. Hapo ngoma droo. CCM hawana sera. Kama si wizi wa kura lichama hili lisingelipata kura 10 Tanzania nzima. Huo ndo ukweli naomba msinichukie
 
Back
Top Bottom