Z ZIMBOO Member Joined Apr 6, 2012 Posts 23 Reaction score 1 Aug 23, 2012 #1 Jimbo la kilosa anakotoka mh.Mkulo ccm laingia ktk hali ya kusikitisha sana kufuatia ubazilifu mkubwa wa mali za uma na vyombo vya dola.wananchi wapolwa ardhi yote na kujimilikisha viongoz na inasemekana mkulo akiwemo ili wakope bank kuu....
Jimbo la kilosa anakotoka mh.Mkulo ccm laingia ktk hali ya kusikitisha sana kufuatia ubazilifu mkubwa wa mali za uma na vyombo vya dola.wananchi wapolwa ardhi yote na kujimilikisha viongoz na inasemekana mkulo akiwemo ili wakope bank kuu....
N Ndinani Platinum Member Joined Aug 29, 2010 Posts 7,812 Reaction score 4,817 Aug 23, 2012 #2 Mkullo ni mnyasa hana uchungu na nchi hii na ndio maana anafanya ufisadi!!
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 55,028 Reaction score 59,657 Aug 23, 2012 #3 huyu mmalawi si mmempa ubunge wenyewe?
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,766 Reaction score 23,217 Aug 23, 2012 #4 hayo ndo matokeo ya kuchagua mmalawi
Genekai R I P Joined Feb 9, 2010 Posts 12,514 Reaction score 5,003 Aug 23, 2012 #5 Ndinani said: Mkullo ni mnyasa hana uchungu na nchi hii na ndio maana anafanya ufisadi!! Click to expand... Saint Ivuga said: huyu mmalawi si mmempa ubunge wenyewe? Click to expand... BADILI TABIA said: hayo ndo matokeo ya kuchagua mmalawi Click to expand... Duh, kweli kuna mambo mengi siyajui, hii ndo kwanza naisikia. Sasa nimejua kwanini hana machungu na nchi hii!
Ndinani said: Mkullo ni mnyasa hana uchungu na nchi hii na ndio maana anafanya ufisadi!! Click to expand... Saint Ivuga said: huyu mmalawi si mmempa ubunge wenyewe? Click to expand... BADILI TABIA said: hayo ndo matokeo ya kuchagua mmalawi Click to expand... Duh, kweli kuna mambo mengi siyajui, hii ndo kwanza naisikia. Sasa nimejua kwanini hana machungu na nchi hii!