Mkulo 50,000 uliipata wapi kiasi cha kulidanganya bunge ???

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,144
Leo naona wameamua
kuna wabunge wamehoji uhalali wa waziri wa fedha kudanganya bunge faini atakayolipishwwa
mtu akitenda kosa sh 50,000 wakati kwenye kitabu cha bajeti tena anasoma kwa kudesa kimeandikwa
laki tatu yaani 300,000

watanzania huyu uhuni wa kusema faini imeongezwa alfu 50,000 wakati kwenye kitabau kaandika 300,000
umetokea wapi na kwa nini asiombe radhi kudanganya watanzania au arekebishe imeongezeka mpaka laki tatu
??kuna nini ameficha ama wameamua kuwaongezea mishahara mapolisi kupitia faini wakijua watakula rushwa
kubwa??

Kazi ipo
 
Sishabikii hili kwani wamewaongezea trafic mshiko. Wakati faini ilikuwa TShs 20,000 ukitoa 5,000 unasepa. Sasa kwa hiyo TShs 300,000 utatoa Tsh 100,000 ndio uachiwe la sivyo changa 300,000
 
Back
Top Bottom