Ally Kombo JF-Expert Member Joined Nov 11, 2010 Posts 11,429 Reaction score 2,654 Apr 11, 2013 #61 stroke said: aa kawaida ya wapiga tarataraa wengi vilaza, shule ilikua ngumu akaona bora aendeleze kipaji chake cha porojo Click to expand... Mmmmmh ! Nimegundua humu kuna watu wamesoma na Mheshimiwa, sasa wanaliza maduku duku yao kwa kutupia madongo !
stroke said: aa kawaida ya wapiga tarataraa wengi vilaza, shule ilikua ngumu akaona bora aendeleze kipaji chake cha porojo Click to expand... Mmmmmh ! Nimegundua humu kuna watu wamesoma na Mheshimiwa, sasa wanaliza maduku duku yao kwa kutupia madongo !
Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 40,017 Reaction score 51,155 Apr 11, 2013 #62 Ally Kombo said: ........Aiseeh ! We jamaa ume graduate juzi nini !? Bado una mhemko wa degree ya kwanza !? .......mpaka thread unaivuruga ! Click to expand... juzi ni juma nne, sijagraduate juzi...mhemko nilionao ni kuwaweka sawa waliopotoka kama wewe
Ally Kombo said: ........Aiseeh ! We jamaa ume graduate juzi nini !? Bado una mhemko wa degree ya kwanza !? .......mpaka thread unaivuruga ! Click to expand... juzi ni juma nne, sijagraduate juzi...mhemko nilionao ni kuwaweka sawa waliopotoka kama wewe