Mkorogo umedunda!

mkuu niulize mm nikuelezee...nina mchepuko wa kizaramo mmoja matata...kwanza kidogo nidhani hiyo picha yake ila ni hivi yeye hana kucha za hivyo!
Kuna kabila usilokua na mchepuko wewe? Ndio maana Dada yangu kakukimbia.
 

Sistaduu wa Uswaz huyo...full kunywa maji kwa wingi...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 

Sistaduu wa Uswaz huyo...full kunywa maji kwa wingi...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaha naona sista duu ana uchebe kwa mbali
 
Kama ni mimi ningevaa soksi nifiche hiyo aibu
 
Mkuu hizo ndizi umenikumbusha Mbeya...kuna ndizi za kuchoma tamu dunia nzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…