Mkopo

Mmanga2

Senior Member
Joined
Oct 30, 2014
Posts
110
Reaction score
28
Walio andikiwa "[h=3]You have Not Secured Loan[/h]" wanafanyaje???
 

Attachments

  • Picture1.png
    43 KB · Views: 754
Hata mi nimeandikiwa hivyo hivyo, naomba kufahamishwa ndo nimekosa?
 
Mm profile iko vilevile inaonesha chuo na kozi niliochaguliwa tu...vp loans hapo ntapata???
 
Hata mimi No full Name, No Institution Name au ndio tusubirie batch ya II maana hata Reasons za kukosa Hakuna. Wazoefu help us
 
not secured
Pole ndg ndo umekosa if possible jipange mwenyewe uende shule
 
Mliambiwa Elimu bire mkashabikia hapa ka,i tu hya sasa kaandaeni mashamba kazi zianze
 
Naamini kwa kutengeneza kizazi chenye hasira kali kwa serikali kama hiki kwa miaka 5 ijayo wote tutakuwa na lengo moja la kuiondoa serikali ya kidharimu tulonayo
 
msaada jaman kwangu profile haijachange mwenye kujua msaada tafadhali???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…