Pablo sanchez Member Joined Oct 18, 2015 Posts 24 Reaction score 3 Oct 19, 2015 #1 Mie nimesoma private lakin nwaka jana baba aliachishwa alipo kua anafanya kazi ni Congo na barua alizo achishwa nazo zpo kwa lugha ya kifaransa,ndo izo pia nliziweka kwenye maombi yangu, sasa sijui niwe na matumain ya kupata au la. naomben ushauri
Mie nimesoma private lakin nwaka jana baba aliachishwa alipo kua anafanya kazi ni Congo na barua alizo achishwa nazo zpo kwa lugha ya kifaransa,ndo izo pia nliziweka kwenye maombi yangu, sasa sijui niwe na matumain ya kupata au la. naomben ushauri
Yummie JF-Expert Member Joined Sep 12, 2015 Posts 1,363 Reaction score 1,082 Oct 19, 2015 #2 Subiri kwanza watoe hayo majibu kwanza
Pablo sanchez Member Joined Oct 18, 2015 Posts 24 Reaction score 3 Oct 19, 2015 Thread starter #3 Haya yummie
M Mwachiko Member Joined Oct 2, 2015 Posts 68 Reaction score 5 Oct 19, 2015 #4 haupati ndugu jipange tuuu
Y Young Kibaka JF-Expert Member Joined Oct 6, 2012 Posts 319 Reaction score 46 Oct 19, 2015 #5 Mwachiko said: haupati ndugu jipange tuuu Click to expand... una uhakika?
K kategera Member Joined May 31, 2015 Posts 22 Reaction score 8 Oct 19, 2015 #6 Inategemeana na coz uliyochaguliwa, wapo wengi waliosoma private na wanamkopo kikubwa courz iwe n priority kweny TCU guide book
Inategemeana na coz uliyochaguliwa, wapo wengi waliosoma private na wanamkopo kikubwa courz iwe n priority kweny TCU guide book